UVCCM: Lulandala Katibu mkuu mpya wa UVCCM Taifa anachukua nafasi ya Kenani Kihongosi aliyeteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Urambo

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
IMG-20231001-WA0009.jpg

===
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 01, 2023.

===
Kamati kuu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imtemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM).

===
Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema, imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Lulandala, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
===

#MAMA HAKAMATIKI
 
Hiki chuma nakifahamu Vizuri tangu kinasoma ni balaa hapa CCM imelamba dume
 
Myb atasaidia uvccm kuamka tena,yule dogo kawaida ni wakawida sana kama jina lake yani uvccm imepoa na kupoteza dira.
 
View attachment 2768531
===
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 01, 2023.

===
Kamati kuu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imtemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM).

===
Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema, imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Lulandala, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
===

#MAMA HAKAMATIKI
Kihongosi na Lulandala ni home boys wote ni kutoka Iringa kama sijakosea
 
Back
Top Bottom