Halafu ukiwatoa hapo unataka wakale kwa mama yako?

Hii nchi ni masikini, lazima tuelewe kwamba vipato vya wananchi vinategemea biashara ndogo ndogo kuendesha maisha.

Huwezi kujenga shopping malls kwa ajili ya mamantilie wanaouza vitumbua na mihogo!

Grow up, kiddie. Acha utoto!
OK... Nanunua kesi...
kwa hiyo mimi nalipa kodI ya fremu na kodi ya TRA ...
Halafu kenge aje kupanga nyanya au mitumba mbele ya duka langu sababu yule mfu alikuwa anataka kura zao...
Napoteza wateja wangu sababu Pumbavu mporimpori kaacha kulima vijijini na kuja mjini kumshobokea dikteta....
Wakafe mbele, tunaanza upya na yule jinamizi hata kaa atokee tena katika nchi yangu...
Natafuta kupigwa ban... easy...
 
KUMEKUCHA, Nasikia dar imefanyiwa usafi ndani ya usiku mmoja na hawa vijana, watu wameamka asubuhi hawaamini wanachokiona ,sehemu ambayo ilikua haipitiki saivi unapita bila kugusana.

vibanda vyote vimevunjwa hivi vya service road sasa ufanyike usafi wa kwenda jiji liwe safi zaidi

kumbe inawezekana aisee khaa Suma jkt sio wa mchezo mchezo, waendelee kupewa tenda hawa vijana
 
nimepita manzese vibanda vilikua vimejaaa mpaka barabaran watu tunakosa pa kupita muda huu safiiii naona watu wanaendelea na kazi ya kusafisha
 
KUMEKUCHA, Nasikia dar imefanyiwa usafi ndani ya usiku mmoja na hawa vijana, watu wameamka asubuhi hawaamini wanachokiona ,sehemu ambayo ilikua haipitiki saivi unapita bila kugusana.

vibanda vyote vimevunjwa hivi vya service road sasa ufanyike usafi wa kwenda jiji liwe safi zaidi

kumbe inawezekana aisee khaa Suma jkt sio wa mchezo mchezo, waendelee kupewa tenda hawa vijana
Kwa hili serikali inapaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tunapaswa kuwa na miji au majiji yaliyostaarabika.
 
Back
Top Bottom