Mnazalisha majobless.
Huyo mama 2025 mtampa shida sana
Huku ndio kuendekeza ujinga, unafahamu serikali ilipoteza mapato kiasi gani kwa kuruhusu machinga kila kona, kariakoo yenyewe ilikua imeshajifia kwani hata wafanyabiashara wa nje waliikimbia kisa msongamano
