Mku usiniombee duwa mbaya mie nipo kijijini wala huko Dar sipatamani. Ninalima na kumtegemea mungu sio mtu.
Hio miji inawenyewe,mngekuwa na nyie ni wa huko mngekuwa na fremu wala msingebishana na serkali.
Aliewapeleka mjini ndio wa kumuuluza kwa nini aliwapeleka barabarani .
Mkuu kukuombea uishi miaka mingi kuna ubaya?
 
Wanabomoa vibanda vyenu wanaweka vibanda vyao. Mtetezi wenu ndio kashaondoka pambaneni na Hali zenu. Wajanja wameangalia wamejua mnapiga hela maeneo fulani fulani. Wametafuta njia ya kuingia hapo na ndio hio kwamba vibanda vyenu vichafu havifai kuwa hapo ILA vibanda vyao visafi ndio vinastahili! Wewe mlalahoi kibanda chako peleka kijijini kwenu huku tunataka vibanda vya akini tipisi, fishifishi na wajanja wengine wa mjini
Jipige kifuani ukijiambia kuwa ww ni MJINGA.
 
Jiji linakuwa kama kijiji cha mazezeta vipe..disorganization kila sehemu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukiwatoa hapo unataka wakale kwa mama yako?

Hii nchi ni masikini, lazima tuelewe kwamba vipato vya wananchi vinategemea biashara ndogo ndogo kuendesha maisha.

Huwezi kujenga shopping malls kwa ajili ya mamantilie wanaouza vitumbua na mihogo!

Grow up, kiddie. Acha utoto!
 
Wewe si unasubiri kuliwa tigo upewe hela za kutanua mjini, huwezi kuelewa hustles za wanaume wanaopambana kutafuta maisha kwa jasho.

Endelea kupiga picha makalio uzirushe instagram watu wajilie vinyesi.

Wacha kazi iendelee...
Una umama mwingi sana. Kwamba unadhani ndo nitajisikia offended ama?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom