Be specific yapi mkuu mliofanyia kaziHayo yote, hapo juu. Yanafanyiwa kazi na yamefanyiwa kazi. Kuwa mpole mzee Saveya. Maendeleo haya chama
Be specific yapi mkuu mliofanyia kaziHayo yote, hapo juu. Yanafanyiwa kazi na yamefanyiwa kazi. Kuwa mpole mzee Saveya. Maendeleo haya chama
Niliweka Uzi maalumu wa ahadi hewa za huyu mtu humu, mods wakaunyofoa. ShameTunasubiri yale yaliyopita. Mambo ya kuendelea kupigana fix kama mazwazwa hatutaki tena.
Hivi anatuonaje huyu mzee? Anadhani sisi wote mabumunda kama ya LumumbaView attachment 1548477
Hata ukielezwa utapinga, maana tomaso ni wengi sana kwa sasa, mkuu wanguBe specific yapi mkuu mliofanyia kazi
Sasa mbona ile video yake haikuwa na sound nzuri?
Subiri saa kumiHivi itakuwake kama Chadema wakimuwekea pingamizi JPM na NEC chini ya Kaijage kumuengua... Kaijage atakuwa amejijengea historia ulimwenguni humu ya kukumbukwa hadi kizazi cha nne....
Nakazia hapaNashuhudia kwa mara ya Kwanza Rais anaongoza term moja.
Safari hii, Mshindi hapangi NEC, CCM, Polisi wala Wapiga kura.
Unauliza ni nani?
Tusubiri 28th October