Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tanzania nzima si serikalini , vyama vya siasa Wala sekta binafsi mwenye best sound system na wataalamu wa open air sound system zinazoweza kwenda sauti clear Hadi kilomita kibao Kama Gwajima .Hakuna Tanzania hii.

Namuomba Gwajima sound system zake na wataalamu wake awaachie wawe na Magufuli kwenye kampeni zake popote anapoenda akifanya mikutano ya hadhara wamsaidie
 
Sound system yaweza kuwa noise pollution ... kumbuka wengine haya maspika yao yanasumbua afya za watu ...
 
Hivi itakuwake kama Chadema wakimuwekea pingamizi JPM na NEC chini ya Kaijage kumuengua... Kaijage atakuwa amejijengea historia ulimwenguni humu ya kukumbukwa hadi kizazi cha nne....
Subiri saa kumi
 
Vipijamani sisi Tunajiandaa kushangilia huku Zenji, Bado tuu hakuna aliye file pingamizi kuhusu Mh. Lisu?
Raisi wetuMtarajiwa 2020-2025
Nilisikia Lipumba na Dovutwa wa UPDP wataweka Pingamizi ,
sijui wameghair baada ya mpango wa NEC kuwa mgumu jana kumuengua?
Au kwa vile Lisu Aliwapasua Hadharani? wamesepa kukwepa aibu?
 
JPM.JPG
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

MagufuliAendeleeTu
 
Back
Top Bottom