Mama nae ana vimisemo,, huenda akienda huko akaja na kamsemo kengine tena..

acha tusubiri, wakati tukiendelea kudemka
 
Atalihutubia Bunge akijua:

1. Kuna covid 19 akina Mdee Halima and colleagues........wanaojiita wabunge wa viti maalum ambao hawana chama kilichowateua kuwa pale. Je atawaongelea au ata mute na kufunika kombe mwanaharamu apite? . Akifanya hivyo amepoteza credibility, hataamika tena....

2. Pamoja kuwa wote walioko bungeni hawana uhalali wa kuwa pale maana wametokana na TISS/Polisi/JKT/ Mahela/Kaijage/Mihayo and many illegal acts, angalau hawa unaweza kufunika kombe mwanaharamu akapita , lkn siyo covid -19!

Ngoja tuone atakavyochanga karata! Lakini kasema yeye na Jiwe kitu kimoja. kama Jiwe aliwaleta Bungeni, basi naye will follow suit!
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Mtasubiri sana
 
Ni jambo jema na la ujasiri. Pia arudishe hotuba za kila mwisho wa mwezi na mwisho/mwanzo wa mwaka.
Ni bunge au kamati ya chama, maana yanayoendelea humo ndani ni kama bunge la watoto.When they pipe in media they dance in the leg. House= Kudemka. Na hii sifa ya std VII ndani ya bunge ndio inasababisha wabunge kukosa hoja na kutafuta maeneo dhaifu wanayoyamudu ili kupata umaarufu. Mara tuambiwe mtu kugombea uraisi ni yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge wakati huo huo mgombea uraisi lazima awe na Shahada huku mbunge awe at least anajua kusoma na kuandika hata kama hajui hesabu ni sawa tu.Hawa wa std VII ndio wameambukiza bunge zima ugonjwa wa kujikomba, kushangilia hovyo hovyo, kusifu na kuabudu, ugonjwa ambao tiba yake inabidi Mh Rais Samia awape vidonge na sindano kali sana Alhamisi ya wiki hii, vunginevyo watamuingiza kwenye mtego wa kuabudiwa na kutukuzwa hadi amkufuru Mungu. Huwa wanaanza taratibu kudemka huku wamefumba macho wakinyamaziwa wanafunga vibwaya,kisha wanaongeza sauti mkinyamaza wanarukaruka wakinyamaziwa wanakuita malkia kisha mungu au vyovyote vile ili mradi wateuliwe ama wasifiwe kuwa wanajua kusifu. Hawana lolote jipya kama walivyokishauri viongozi wa dini wamejawa na tamaa,ubinafsi, uongo, ushamba, ujuha na sifa kemkem zinazofanana na hizo.Elimu yao ndogo inawafanya kuteka kundi kubwa linalofanana nao na tusipoangalia vyuo vikuu vitageuka mabanda ya video kwa kutokutoa wasomi wanaochangia fikra pevu na endelevu katika ujenzi wa taifa.Tunaamini hata Mh rais unawajua vizuri sana na kwa haiba yako naamini hutawapa nafasi ya kudhalilisha utu na uumini wetu wa kutukuza wanadamu badala ya Mungu muumba Mbingu na ardhi.
 
Kwa maoni yangu kishavurunda kwa kutoa kauli kwamba yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Lile kundi ambalo halikutaka ashike usukani limeshamdhibiti hivyo sasa anademka na ngoma zao ingawaje kuna maccm wengine wanataka achukue mkondo mpya. Pazuri hapo! Maccm kwa maccm. Ngoja tusubiri tuone jinsi atakavyozidi kujisogeza kwa dhalimu.
Atalihutubia Bunge akijua:

1. Kuna covid 19 akina Mdee Halima and colleagues........wanaojiita wabunge wa viti maalum ambao hawana chama kilichowateua kuwa pale. Je atawaongelea au ata mute na kufunika kombe mwanaharamu apite? . Akifanya hivyo amepoteza credibility, hataamika tena....

2. Pamoja kuwa wote walioko bungeni hawana uhalali wa kuwa pale maana wametokana na TISS/Polisi/JKT/ Mahela/Kaijage/Mihayo and many illegal acts, angalau hawa unaweza kufunika kombe mwanaharamu akapita , lkn siyo covid -19!

Ngoja tuone atakavyochanga karata! Lakini kasema yeye na Jiwe kitu kimoja. kama Jiwe aliwaleta Bungeni, basi naye will follow suit!
 
Kwa maoni yangu kishavurunda kwa kutoa kauli kwamba yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Lile kundi ambalo halikutaka ashike usukani limeshamdhibiti hivyo sasa anademka na ngoma zao ingawaje kuna maccm wengine wanataka achukue mkondo mpya. Pazuri hapo! Maccm kwa maccm.

Mkuu BAK wewe unaDemkia wapi?
 
Atalihutubia Bunge akijua:

1. Kuna covid 19 akina Mdee Halima and colleagues, wanaojiita wabunge wa viti maalum ambao hawana chama kilichowateua kuwa pale. Je atawaongelea au ata mute na kufunika kombe mwanaharamu apite? Akifanya hivyo amepoteza credibility, hataamika tena.

2. Pamoja kuwa wote walioko bungeni hawana uhalali wa kuwa pale maana wametokana na TISS/Polisi/JKT/ Mahela/Kaijage/Mihayo and many illegal acts, angalau hawa unaweza kufunika kombe mwanaharamu akapita , lkn siyo covid -19!

Ngoja tuone atakavyochanga karata! Lakini kasema yeye na Jiwe kitu kimoja. kama Jiwe aliwaleta Bungeni, basi naye will follow suit!

Hahahaaa😃😃😃

Tarehe 22/4/2019 Mama Samia ana mtihani mkubwa wa kwanza, her credibility at test!​

Anatestiwa na nani😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom