Nashukuru mkuu kama kweli yeye ni mkweli na anataka tuzizike tofauti zetu alivunje bunge HALIMA barakah za wananchi na kama anatomy gharama za uchaguzi mwambieni sisi wananchi tutachangia wenyewe kama tulivyomchangia lisu, kama tulivyowachangia viongozi wa chadema kwenye faini zao za ujinga za kubambikiwa kesi n.k tofauti na hapo mapambano yataendelea ba atapata shida sana kuongea watanzania waliogawanyika kivyama
Amina
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Dogo mlidengua mkafikiri mtabembelezwa? Hii ngoma hadi 2025. Na mkidemka tena, sie twala hadi 2030!
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni

Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.

================

Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021.

Spika wa Bunge, Job Ndugai amelitangazia Bunge leo Jumatatu Aprili 19, 2021 kuwa Rais Samia atalihutubia Bunge Alhamisi ya wiki hii kuanzia saa 10 jioni.

Hivyo, Spika Ndugai amewaagiza wabunge wote walioko nje ya Jiji la Dodoma kurudi na wale wanaotaka kuondoka wazingatie kuwapo kwa shughuli hiyo kwanza.

Rais Samia atalihutubia Bunge kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19, 2021 baada ya kifo cha Rais wa tano, John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.

Mwananchi
 
Leo bungeni Spika wa Bunge Job Ndugai amewaambia wabunge kesho Rais Samia atahutubia mkutano wa Bunge.
Hivyo kwa Wabunge ambao hawapo wapigiwe simu.
 
Hotuba ya rais mama samaia kesho itavunja rekodi ya kutizamwa na kusikilizwa na wananchi wengi katika historia marais wote waliopata kutokea katika taifa letu
Sawa tumekusikia mkuu! Hata wanasaccos wataunga tela.
 
Na comments za Mh. Tundu Lissu. About the President's speech ndizo comments zitakazojadiliwa zaidi pengine kuliko hotuba yenyewe. I guess will be very very positive and constructive.
 
Back
Top Bottom