Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,987
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar.
View: https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Aman Abeid Karume katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu walipohudhuria Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) tarehe 28 Desemba, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii wakati wa Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu tarehe 28 Desemba, 2023.
PIA SOMA
- Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024
- Rais Samia ashiriki Mahafali ya 52 Duru ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Atunukiwa Shahada ya Heshima
- Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023
- Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia