willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,028
- 1,181
duuuuh siku ukipata manzi hutomlizisha kabisa
mkuu, ili ni Bomu linalosubiri kulipuka pindi vijana hawa watakapo kuja kuoa.Hii suala limekua janga Taifa ni bora lijadiliwe Bungeni...
hahahaaHii suala limekua janga Taifa ni bora lijadiliwe Bungeni...
Kweli kabisaHii suala limekua janga Taifa ni bora lijadiliwe Bungeni...
Aise wakati mwingine dem wangu ananioigishaga yeye akiwa danger zone....ila show zangu zote ni hatari sasa sjui tatizo kwa wengine ni nn....sems tu siko addicted....huwa nafanya inapobidi ili nisiitwe baba mzazi kabla ya kuitwa baba mwenye nyumbaMbona wengine wanapiga punyeto na wanawaridhisha wapenzi wao?? Wewe itakua unamatatizo binafsi
Pung'eto limemuathiriHahahaaa hata dk 1 hukuchukua wakati mimi napiga demu kwa dk 20 maandalizi weka pembeni
Inategemea athari ni za kiasi na muda gani inawezekana kabisa thoughWakuu hv akiacha anarudi kwenye hali ya kawaida. Maana tuko wengi
ShukranJifunze kuwapenda wanawake na kuvutiwa na uzuri wao..jifunze kukubali kuumizwa katika mapenzi..jifunze kuitamani ndoa kidogo kidogo na kukubali kukabiliana na changa moto za maisha ya ndoa..jifunze kuwa karibu na wanawake wazuri na ukubaliane na mapungufu yao..punguza kuwaogopa wanawake kuhusu utakapokuwa nae chumbani, ujiamini unaweza kufanya kwa uwezo mkubwa na ukakubalika ww ni king of the bed..usiwaze sana maisha kupita kiasi mpk utakapopata pesa nyingi ndo uwache..jifunze kupambana face to face na yale yanayokupelekea mpk ukaizoea hiyo tabia ..punguza kufanya kidogo kidogo siku mpk siku, wiki mpk wiki, mwezi mpk mwezi kidogo kidogo ujifunze kuacha.
Ukizoe kufanya kitu chochote ni vigumu sana kuacha, mazoea hujenga tabia. Inabidi moyo wako uamue kwa dhati kuacha kwani wengi wao wameshindwa na kurudia.
Ukiamua kuacha inabidi uwe na kitu kingine kubadilisha mbadala wake kama vile mazoezi, kuwa biz na hobbies zako, kuwa na gf, kuoa, kurudi ktk msimamo wa dini.
kwani kakwambia hawapendi au anawaogopa wanawake?hata sijaelewa maneno yako mengi yanasaidia nini kwenye uachaji wa punyeto,mwambie tu kifupi aamue kuacha ataacha kama kweli kaamua..acha kumzunguka.Jifunze kuwapenda wanawake na kuvutiwa na uzuri wao..jifunze kukubali kuumizwa katika mapenzi..jifunze kuitamani ndoa kidogo kidogo na kukubali kukabiliana na changa moto za maisha ya ndoa..jifunze kuwa karibu na wanawake wazuri na ukubaliane na mapungufu yao..punguza kuwaogopa wanawake kuhusu utakapokuwa nae chumbani, ujiamini unaweza kufanya kwa uwezo mkubwa na ukakubalika ww ni king of the bed..usiwaze sana maisha kupita kiasi mpk utakapopata pesa nyingi ndo uwache..jifunze kupambana face to face na yale yanayokupelekea mpk ukaizoea hiyo tabia ..punguza kufanya kidogo kidogo siku mpk siku, wiki mpk wiki, mwezi mpk mwezi kidogo kidogo ujifunze kuacha.
Ukizoe kufanya kitu chochote ni vigumu sana kuacha, mazoea hujenga tabia. Inabidi moyo wako uamue kwa dhati kuacha kwani wengi wao wameshindwa na kurudia.
Ukiamua kuacha inabidi uwe na kitu kingine kubadilisha mbadala wake kama vile mazoezi, kuwa biz na hobbies zako, kuwa na gf, kuoa, kurudi ktk msimamo wa dini.