Hii suala limekua janga Taifa ni bora lijadiliwe Bungeni...
mkuu, ili ni Bomu linalosubiri kulipuka pindi vijana hawa watakapo kuja kuoa.

Migogoro itakuwa haiishi katika nyumba, maana jimbi litakuwa hali wiki vizuri.

Kwa wale wanao endelea na mchezo huu wa kujikoki na sabuni.

Wajaribu kuacha maana ni hatari sana katika mustakabali wa ndoa zao hapo watakapo kua wameoa.

Wake zao watatafuta michepuko maana wazee watakuwa hawawezi kazi.

Suluhisho wamkimbilie Yesu Awa saidie kuacha maana punyeto ni Roho inayo msukuma mtu kufanya.
 
Jifunze kuwapenda wanawake na kuvutiwa na uzuri wao..jifunze kukubali kuumizwa katika mapenzi..jifunze kuitamani ndoa kidogo kidogo na kukubali kukabiliana na changa moto za maisha ya ndoa..jifunze kuwa karibu na wanawake wazuri na ukubaliane na mapungufu yao..punguza kuwaogopa wanawake kuhusu utakapokuwa nae chumbani, ujiamini unaweza kufanya kwa uwezo mkubwa na ukakubalika ww ni king of the bed..usiwaze sana maisha kupita kiasi mpk utakapopata pesa nyingi ndo uwache..jifunze kupambana face to face na yale yanayokupelekea mpk ukaizoea hiyo tabia ..punguza kufanya kidogo kidogo siku mpk siku, wiki mpk wiki, mwezi mpk mwezi kidogo kidogo ujifunze kuacha.

Ukizoe kufanya kitu chochote ni vigumu sana kuacha, mazoea hujenga tabia. Inabidi moyo wako uamue kwa dhati kuacha kwani wengi wao wameshindwa na kurudia.

Ukiamua kuacha inabidi uwe na kitu kingine kubadilisha mbadala wake kama vile mazoezi, kuwa biz na hobbies zako, kuwa na gf, kuoa, kurudi ktk msimamo wa dini.
 
Mbona wengine wanapiga punyeto na wanawaridhisha wapenzi wao?? Wewe itakua unamatatizo binafsi
Aise wakati mwingine dem wangu ananioigishaga yeye akiwa danger zone....ila show zangu zote ni hatari sasa sjui tatizo kwa wengine ni nn....sems tu siko addicted....huwa nafanya inapobidi ili nisiitwe baba mzazi kabla ya kuitwa baba mwenye nyumba
 
Mimi punyeto nimepiga sanaaaaa..toka std 6.Nakumbuka Songea bys nlkuwa napga hadi kwa siku mara 5 kila siku nikiwa o lvl..advance nlpochaguliwa mixture nliacha ila madhara nliyoyapataga siwezI jaribu tena hii kitu
 
Jifunze kuwapenda wanawake na kuvutiwa na uzuri wao..jifunze kukubali kuumizwa katika mapenzi..jifunze kuitamani ndoa kidogo kidogo na kukubali kukabiliana na changa moto za maisha ya ndoa..jifunze kuwa karibu na wanawake wazuri na ukubaliane na mapungufu yao..punguza kuwaogopa wanawake kuhusu utakapokuwa nae chumbani, ujiamini unaweza kufanya kwa uwezo mkubwa na ukakubalika ww ni king of the bed..usiwaze sana maisha kupita kiasi mpk utakapopata pesa nyingi ndo uwache..jifunze kupambana face to face na yale yanayokupelekea mpk ukaizoea hiyo tabia ..punguza kufanya kidogo kidogo siku mpk siku, wiki mpk wiki, mwezi mpk mwezi kidogo kidogo ujifunze kuacha.

Ukizoe kufanya kitu chochote ni vigumu sana kuacha, mazoea hujenga tabia. Inabidi moyo wako uamue kwa dhati kuacha kwani wengi wao wameshindwa na kurudia.

Ukiamua kuacha inabidi uwe na kitu kingine kubadilisha mbadala wake kama vile mazoezi, kuwa biz na hobbies zako, kuwa na gf, kuoa, kurudi ktk msimamo wa dini.
Shukran
 
Hongera kwa kuacha. La msingi ni kula vzr na kufanya mazoezi. Hilo la kuwai kumwaga litakwisha ni la kisaikolojia tu.
 
Jifunze kuwapenda wanawake na kuvutiwa na uzuri wao..jifunze kukubali kuumizwa katika mapenzi..jifunze kuitamani ndoa kidogo kidogo na kukubali kukabiliana na changa moto za maisha ya ndoa..jifunze kuwa karibu na wanawake wazuri na ukubaliane na mapungufu yao..punguza kuwaogopa wanawake kuhusu utakapokuwa nae chumbani, ujiamini unaweza kufanya kwa uwezo mkubwa na ukakubalika ww ni king of the bed..usiwaze sana maisha kupita kiasi mpk utakapopata pesa nyingi ndo uwache..jifunze kupambana face to face na yale yanayokupelekea mpk ukaizoea hiyo tabia ..punguza kufanya kidogo kidogo siku mpk siku, wiki mpk wiki, mwezi mpk mwezi kidogo kidogo ujifunze kuacha.

Ukizoe kufanya kitu chochote ni vigumu sana kuacha, mazoea hujenga tabia. Inabidi moyo wako uamue kwa dhati kuacha kwani wengi wao wameshindwa na kurudia.

Ukiamua kuacha inabidi uwe na kitu kingine kubadilisha mbadala wake kama vile mazoezi, kuwa biz na hobbies zako, kuwa na gf, kuoa, kurudi ktk msimamo wa dini.
kwani kakwambia hawapendi au anawaogopa wanawake?hata sijaelewa maneno yako mengi yanasaidia nini kwenye uachaji wa punyeto,mwambie tu kifupi aamue kuacha ataacha kama kweli kaamua..acha kumzunguka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom