Ukweli ni kwamba wanawake nao hujichua (kupiga punyeto) kama wanaume

Bukoba Finest

JF-Expert Member
Jul 13, 2023
250
314
Kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume, hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hili ni kutowatendea haki.

Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua au kupiga punyeto;

1. Kupoteza hisia, inakufanya ukose hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

2. Kuwa na uke mlegevu, yaani mtepeto.

3. Kupelekea maumivu ukeni, ukikutana na mwanaume wakati wa Tendo.

4. Huwezi kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea sana punyeto.

5. Kukupelekea kuchelewa kufika kilele pindi ukikutana na mwanaume.

6. Pia ukiizoea sana itakupelekea kufanya mapenzi ya jinsia moja (kusagana).

7. Inakufanya kuwa Mvivu na hasira za mara kwa mara zisizo hata na sababu.

Usiniulize nimejuaje .
 
Kuna vile vidude vya pink wanachomeka kunako, aisee vile vimekua kama fashion, kuna siku ofisini manzi mmoja aliangusha handbag kpindi anatafuta nn sijui kadude kakaonekana pia.

Ukiongezea na shisha za betri
Unazungumzia Dildo ama
 
Back
Top Bottom