kuacha punyeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiboko ya Jiwe

    Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

    Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja. Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
  2. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
  3. Allist

    SoC01 Acha Punyeto, unaharibu ubongo na nguvu zako

    Habari wana jamiiforum, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. Nimeamua kuchukua nafasi hii kuelezea athari za video za ngono (porn) katika ubongo wa mwanaadamu, hasa kwa sisi vijana...
  4. mjizu123

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia. Wakati mwingine mtu unashindwa kabisa...
  5. Foxhound

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
Back
Top Bottom