Habarini, nimeona niwashirikishe nilichokisikia toka kwa mkufunzi wa masuala ya mahusiano na ngono kama alivyokuwa akitoa semina katika kipindi cha "TED Talk show".



UKWELI.

1. Wale wale walio katika mahusiano wana nafasi kubwa ya kutaka kujaribu punyeto kuliko wasio katika mahusiano.
2. Mapenzi ya jinsia moja yanahusishwa kwa kiwanngo kikubwa na punyeto.
3. Wanaume wanapiga sana punyeto kuliko wanawake.
4. Vijana wanapiga sana punyeto kuliko wazee.
5. Wenye wasili ya ngozi nyeupe wanapiga sana punyeto kuliko ngozi nyeusi.
6. Kadri mtu anavyozidi kuwa na elimu kubwa ndivyo uwezekano wa mtu huyo kupiga punyeto huongezeka
7. Punyeto ni njia pekee ya kufanya ngono salama.
Punyeto hupunguza msongo wa mawazo
8. Karibu asilimia 95 ya wanaume wameshawahi jaribu punyeto katika maisha yao, halikadhalika ni asilimia 89 kwa wanawake.
9. Punyeto husababisha matatizo ya kiakili kama tuu utaendekeza. Maana wengine wanaweza piga punyeto hata muda wao wa kufanya kazi nk




UONGO.

1. Wanawake wanaotegemea Vitetemeshi katika
2. Punyeto katika umri mdogo hakuchangii mtoto huyo kuwa na mihemuko ya kimapenzi hapo baadae.
3. Punyeto kwa kiwango kikubwa hakisababishi matatizo ya kiafya kwa maana ya magonjwa. bali yasababishayo matatizo ya kiafya katika mchakato mzima wa punyeto ni vile vinavyotumika katika mchakato mzima wa punyeto ( kama vile vilainishi, Mafuta, mikono michafu n.k )



Hapa nimeyaweka baadhi tuu, Hayo pamoja na mengine mengi, pitia katika link ya video niliyoiweka mwanzoni mwa huu uzi ujionee na kusikia mwenyewe.
 
Mimi sina porojo nyingi wala siko hapa kwa ajili ya kuchekesha:
ni hivi kama mnakumbuka week 3 zilizopita niliji introduce myself nikasema

I am 26 years na nimekua nikifanya huu mchezo wa kujilipua since niko standard 7 (2004 Shinyanga) mpaka namaliza degree yangu mwaka jana 2015 pale UDSM.

Nimekuja kushtukia mchezo baada ya kushindwa kucheza mechi na demu wangu mpya last month (yani nilimuandaa mpaka akalegea, ile naingiza tu wazungu hao na kwenda second round ikawa ishu)

(Siku ya mei mosi) nilitangaza kuwa nimefikisha Mwezi tangu niachane na punyeto.

Na nikaomba kama wana MMU wenzangu mzidi kunipa moyo juu ya
haka ka ugonjwa.

Sasa hii week nzima since j3 manzi wangu yupo MP halafu mie nikawa na maganzi kishenz, nimejikaza usiku na mchana... Aaaah leo uzalendo ukani shinda...

Kwanini nisijilipue kamoja ka fasta fasta kitandani mchana huu.. Hapa mwili mwepesi...

Demu wangu siishi nae, mie nimepanga yeye anaishi kwao bado..

Lengo la kuleta MREJESHO ni kuwapa changamoto zinazo tukumba sisi vjana tuliokua ADDICTED na hii kitu inahitaji niya ya dhati jamani kuachana nayo..

Anyway, I will do my Best niachane nayo, mwanzo mzuri (more than 40
days?) zaman ilikua kwa week hata mara tatu..

Wenu katika harakati za vijana kujitambua "NITAKUFA LINI"

Ahsanteni sana
 
pole...usikate tamaa..hata mvuata sigara na mlevi hawez acha kwa mara moja taratibu utaacha....ila kila ukifanya hyo weka kumbukumbu uone muda gani umekaa bila hyo kitu! yawezekana ukafanya baada miez 2 ama 3
 
Nimesikitika na kukuonea huruma sijui kwa mini hila tangu la saba mpaka chuo kikuu ni muda mrefu ingefaa uwe umesha acha japokuwa kwenye ujana baadhi ya vijana ufanya huo mchezo wengi uacha hila kwako imekuwa addiction.Unaitaji msaada wa ziada.
 
Vita ya punyeto na picha za ngono inahitaji usajiri sana kuanzia kiakili paka ki mwili me nilikaaa mwaka mzima bila kupiga punyeto na nikarudia niliumia sana lakini nikakumbuka vita ni vita tu mapambano lazima yaendelee
Kitu cha kwanza ni kuangalia mazingira yanayokupelekea kupiga punyeto epukana nayo mapema sana na inahitaji dhamira ya dhati na punyeto ni hatari kuliko bangi wanazotumia mateja ya mwananyamala hii ni sawa na kutega bomu ndani ya chumba unacho lala...jamani ambao mnapiga punyeto muache madhara yaliyonipata ni makubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom