Wakuu hv akiacha anarudi kwenye hali ya kawaida. Maana tuko wengi
Yes mkuu unarudi kabisa wanasayansi wanasema mtu ukikaa siku 40 tu bila kupiga punyeto unaanza kurudi ktk hali ya kawaida lkn hapa lazima uanze mazoezi ya viungo unywe maji mengi kula vitu vya Asili tumia tangawizi kitungu swaumu na ubadilishe muelekeo wa akili yako kwamba umepona na upo kama wanaume wengine namaanisha kujiamini kwa sababu punyeto ina madhara kwenye saikolojia sana nakutakia mafanikio mema.
 
asee umenichekesha sana cku ile umeandika ni mwez umetimia tangu uache nkasema kwel jamaa anajiweza yan me cwez kaa wik afu yy kakaa mwez , sa hv et umejilipua kamoja cha fasta fasta
 
tafta mwanamke mpenda ngono kama wewe au oa kabisa,tatizo mnakua na videm vyenu mnaishia kuuza sura tu mjini halafu unapewa nyapu mala moja kwa mwaka,mtapiga hadi kufa

ilo ni tatizo la kisaikolojia,inabidi akili izoee normal sex ukifanya ngono ya kawaida mala nyingi iwezekanovyo itazoea automatically
 
Vita ya punyeto na picha za ngono inahitaji usajiri sana kuanzia kiakili paka ki mwili me nilikaaa mwaka mzima bila kupiga punyeto na nikarudia niliumia sana lakini nikakumbuka vita ni vita tu mapambano lazima yaendelee
Kitu cha kwanza ni kuangalia mazingira yanayokupelekea kupiga punyeto epukana nayo mapema sana na inahitaji dhamira ya dhati na punyeto ni hatari kuliko bangi wanazotumia mateja ya mwananyamala hii ni sawa na kutega bomu ndani ya chumba unacho lala...jamani ambao mnapiga punyeto muache madhara yaliyonipata ni makubwa sana.
mkuu ulipata madhara gani mbona unatutisha ?
 
Mmmnh... Pole kaka bt kama ukiendelea utakuja aibika kwa demu ako na atakukashfu mana atachukuliwa mbele ako na ukijufanya kumchimba mkwara atakumwagia mituc ya kashfa...
 
Ah ah ah ah ah ah
Hv mbona madem weng sanaa.....hata wa kununua wapo......punyeto inaachika tuu vizur ww kuwa na madem saba...gonga kila siku ya week....wakizingua ingia kona bar...punyeto utaisahau kabisa......teleza teleza mtelezoniiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom