50a760058de926b27d15b00121955e4d.jpg

MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO NA NAMNA YA KUEPUKA.
Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.
Masturbation au punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake, katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe! Na wanasema. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.
Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili (chronic masturbation) na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii.
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO KWA MWANAUME
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende / Groin / Testicular Pain
7.Maumivu ya kiuno
Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!
Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.
1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA
Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile ziszo za muhimu. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.
2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI
Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.
3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI
Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana
4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA PONO
Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya tamaa zao za mwili.
MUSTERBATION EFFECTS REMEDY PACKAGE
Kwa kutambua kuwa vijana wengi wameathirika na tatizo la upigaji punyeto na wengine wakiwa wamekata tama basi tunakuletea package ya siku 30 ambayo itakusaidia kukurudisha katika hali ya kawaida hata kama ulishaathirika kwa upigaji punyeto,kwa gharama ya sh 135,000.
. Hivo tuandikie kwa text/whatsapp number 0762336530
NB, hakikisha mpaka umetutafuta upo serious na unahitaji kuondoa tatzo .karibu sana
Kumbuka kushare Makala hii na vijana wenzako.
 
nina ndugu yangu ameathirika na puli (masterbetion/kujichua)
amepata madhara kiasi kwamba akikutana na mtu ke dakika mbili tuu anakua ameshapizi
je afanyaje ili aache puli na je kuna tiba ambayo anaweza kupata ili nguvu zake zirudi upya??

msaada wenu plz
 
Mkuu pulitable si zimekatazwa au? Inabidi upelekwe kambini ukalime ili uache puli
 
angalia kitu gani kina trigger kufanya hako kamchezo...kama ni unaangalia pornography ndo unajichua...baas acha mara moja kama usipoacha baas utaendelea milele..kuna chemical kwenye brain yako inaitwa dopamine hyo ndo inakumotivate kufanya chochote unachofanya ...sasa ukiwa unajichua kwa mda mrefu ,hyo dopamine itakuwa inahitaji reward hyo unazid kujenga habit..ukitaka kuacha ndgu 1. sali sana kwa sababu nguvu ya shetani ni kubwa pale anapoona unaipenda dhambi fulan 2.jaribu kutafuta habit nyngine kama vile kusoma vitabu,n.k 3.tafuta mpenzi wa kudumu.
TIP :jaribu kufanya hvyo kwa siku 90 (probation days)..leta feedback..kwa siku 14 za mwanzo utapata shida sana ...ila ukizipita tu basi
 
itabidi tuanze kampeni maana hali ishakuwa tete, akipata muda mwambie aje aga khan kwa vipimo zaidi, kwa maelezo zaidi waweza ni pm
 
nina ndugu yangu ameathirika na puli (masterbetion/kujichua)
amepata madhara kiasi kwamba akikutana na mtu ke dakika mbili tuu anakua ameshapizi
je afanyaje ili aache puli na je kuna tiba ambayo anaweza kupata ili nguvu zake zirudi upya??

msaada wenu plz
ndio mkuu anaweza kurud na nguvuzake bila shida hapo hormone ya nguvu za kiume ndio imeffifia kuifufua na kurudia nguvuzako ksma awal ni elfu30 ila utatoa nusu na nusu utamalizia ukipona ndani ya siku tatu mpaka tano ila ndugu yako ntampa ofa ya kumtibu bure na atapona bila shaka ntampa formula ya kuchanganya matunda ambayo ni tikitndiz tangawiz na karoti 0712505049whats app
 
nina ndugu yangu ameathirika na puli (masterbetion/kujichua)
amepata madhara kiasi kwamba akikutana na mtu ke dakika mbili tuu anakua ameshapizi
je afanyaje ili aache puli na je kuna tiba ambayo anaweza kupata ili nguvu zake zirudi upya??

msaada wenu plz
matatizo haya yamekuwa sugu kwa mashabab(vijana)na wasiokuwa hao mpaka kufikia kuona hata pona ila dawa zipo mchanganyiko na vyakula tuvitumiavyo siku zote.tafuta mtu akutibie pia kama hutojal bas wasiliana nas 0712770729
 
nina ndugu yangu ameathirika na puli (masterbetion/kujichua)
amepata madhara kiasi kwamba akikutana na mtu ke dakika mbili tuu anakua ameshapizi
je afanyaje ili aache puli na je kuna tiba ambayo anaweza kupata ili nguvu zake zirudi upya??

msaada wenu plz
unahitaj juice ya udishe asali pamoja na mchanganyko wa dawa za kissunna takriban saba.kwa uwezo wa mwenyez mungu ndani ya wiki mbili utajishangaa jins utakavyokuwa shabab mathubut.kama hutojal wasiliana nasi uondoe aibu hiyo.0712770729
 
nina ndugu yangu ameathirika na puli (masterbetion/kujichua)
amepata madhara kiasi kwamba akikutana na mtu ke dakika mbili tuu anakua ameshapizi
je afanyaje ili aache puli na je kuna tiba ambayo anaweza kupata ili nguvu zake zirudi upya??

msaada wenu plz
Mkuu, punyeto haina dawa. Suala la saikolojia. Dawa yake kubwa ni yeye binafsi kuikataa hiyo hali kutoka nafsini mwake ,BASI. Hiyo ndio dawa mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom