Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Hivi hatuwezi kuomba huyu jamaa ainunue Tanzania awe raisi wa kwa mkataba wa hata miaka 50 hivi?

Yaani awe ana control kila kitu mradi tu atupe maisha bora.

Maana naona tunakoelekea ni bora hata enzi za mkoloni.
Naunga mkono hoja baada ya miaka 60 ya uhuru hatuna maji wala umeme ni bora kumrudishia mzungu nchi yake ishatushinda hii trump was right.
 
Kila mwekezaji na mfanyabiashara mkubwa popote pale duniani macho yao wote imekuwa Ni Tanzania Hasa baada ya Sera nzuri na mazingira mazuri ya kiuwekezaji yaliyowekwa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
Sera gani mkuu kwa mfano? Unaweza kuiattach hapa wote tuisome?
 
Wabongo kila Jambo mnalifanya ajenda
C4132015-2304-4B88-9056-5A0FF1FEE243.jpeg
DCFE0D84-EFBF-4DC8-B57D-E6C46B1C3F37.jpeg
 
Wabongo buana, sasa huo ni uwekezaji gani?

Ilichofanya Starlink ni kuomba leseni/kibali cha satellites zake kuwa na footprint TZ kwa mwaka huo 2023 na ilimepewa kibali...

Sasa wenye uwezo ndio watapambana kuwa na kits zao ambazo bei yake ni dola mia 599$ (moderm, dish na vikorokoro vingine) plus monthly charges za 110$
 
TCRA washakuwa addicted na vi buku mbili mbili zetu sidhani kama serikali itampa idhini ya huo mradi
 
Wabongo buana, sasa huo ni uwekezaji gani?

Ilichofanya Starlink ni kuomba leseni/kibali cha satellites zake kuwa na footprint TZ kwa mwaka huo 2023 na ilimepewa kibali...

Sasa wenye uwezo nfio watapambana kuwa na kits zao ambazo bei yake ni dola mia 5 na ushee (moderm, dish na vikorokoro vingine) plus monthly charves za 110$
Serikali wakimkubalia lazima watamuambia afate utaratibu alioukuta, ambao ndio unakandamiza wananchi
 
Chawa mna kazi ya kuongeza maneno. Mwekezaji mkubwa anaangalia sheria na sio porojo za wanasiasa.
 
Kila mwekezaji na mfanyabiashara mkubwa popote pale duniani macho yao wote imekuwa Ni Tanzania Hasa baada ya Sera nzuri na mazingira mazuri ya kiuwekezaji yaliyowekwa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
wetu mpendwa? Nigga, Are you serious?
 
Back
Top Bottom