Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Wanaoitaka starlink ije wengi wao hawana uwezo wa kuihudumia. Hiyo ni nzuri kwa watu ambao wako remote areas, hapa mjini hata vodacom kwa 120,000 unapata unlimited 30Mbps
Hatq mjini Starlink ni nafuu. Mnaweza tumia hata watu mia na kasi ikawa nzuri tu.
 
thubutu, bei ya modem pekee ya Starlink ni $600
bando la chini ni $110 kwa mwezi
ila mkuu star link wana unafuu japokua starting price ni kubwa, na hapo pa 110$ inaweza isiwe hivo, nimecheki juzi hapa wa nigeria wanapata maximum speed ya 200 na ushee mbps kwa dollar 43, roughly 100K, ambayo ni far better.
 
Satellite internet ina spidi ndogo ukilinganisha na internet ya fiber.

Uko USA kwenyewe T-Mobile, At&T nk bado zimetawala stanlink inatumika zaidi vijijini maeneo ambayo fiber haijasambazwa

Pia starlink ina gharama kubwa kuliko hata rates za sasa za Vodacom superkasi ambayo ndio home internet yenye gharama zaidi ukilinganisha na zuku na ttcl
Rudi ukafanye upya research yako mkuu....
 
Tatizo siku hizi Elon Musk anaongea sana hadi anakaribia kua mpumbavu alitangaza kuinunua Twitter kumbe alikua anatafuta kuongelewa tu, akatangaza kuinunua Manchester United kumbe alikua anatafuta kiki tu.
Uwezo anao kweli lakini aache kubonga sana afanye vitendo zaid
Mkuu vipu kwasasa bado unadhani jamaa ni mtu wa "blah blah"?
 
Rudi ukafanye upya research yako mkuu....
Research zipi.
Top-Internet-Service-Provider-State-by-State-1024x731-1.png


Na hii ni spidi test ya fiber ya at&t
at-t-fiber-speed-test-v0-lj8vgufpwan81.jpg

Na wakati huo starlink ikitembea Sana 200ish mbps na wakati huo inaweza kushuka mpaka 30mbps na Kwa baadhi ya watu kwenye peak time inafika mpaka mpaka 5mbps

 
Back
Top Bottom