QGISInsights

Member
Apr 26, 2023
14
41
Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko?

Screenshot_20230718-161533_Twitter.jpg

---

Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya, wataanza tumia huduma za star Link.

Na akionyesha ramani ya Baadhi ya nchi za Africa zinazotumia star Link .

Hii Post yake nikama anaipiga TZ 🇹🇿 dongo kuoonyesha jinsi inavyo Dili na investors wa kimataifa.

Haya SS wa TZ 🇹🇿 wanao lalamika kwamba Kenya ndio inaturudisha nyuma kiuchumi .
Nadhani wenyewe mmejionea SS ,

Tanzania 🇹🇿 viongozi wetu ni wabinafsi sana.
---

Boss wa Makampuni ya Marekani ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk (51) ambaye ni miongoni mwa Matajiri wa dunia amesema Kampuni yake ya Starlink imezindua huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu nchini Kenya hivyo Wakenya wanaweza kupata internert hiyo hata Vijijini ambako miundombinu ya internet haijafika.

Kwa hatua hii sasa ni rasmi Kenya inaingia kwenye orodha ya Nchi za Afrika zinazonufaika na huduma hiyo ikiungana na Rwanda, Msumbiji na Mauritius.

Kampuni hiyo imeendelea kuzindua satelaiti katika Nchi mbalimbali kama sehemu ya mradi wa Starlink ambao unalenga kutoa huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu hadi maeneo ya mbali Duniani na huwasaidia hadi Watu wanaoishi maeneo ya mbali ambayo hayawezi kupata internet ya kasi ya juu zaidi.
 
Screenshot_20230718-163739.jpg

Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya, wataanza tumia huduma za star Link.

Na akionyesha ramani ya Baadhi ya nchi za Africa zinazotumia star Link .

Hii Post yake nikama anaipiga TZ 🇹🇿 dongo kuoonyesha jinsi inavyo Dili na investors wa kimataifa.

Haya SS wa TZ 🇹🇿 wanao lalamika kwamba Kenya ndio inaturudisha nyuma kiuchumi .
Nadhani wenyewe mmejionea SS ,

Tanzania 🇹🇿 viongozi wetu ni wabinafsi sana.
 
Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko?

View attachment 2692053
Wacha wachelewe tutaingiza hizohizo za Kenya, si zina global roaming.

Watanzania na maendeleo ni vitu tofauti.

cc: MwanaDiwani
 
Starlink ipo hata wewe ukitaka unaipata..Swali kwa mnaolalamika ikija mtanunuaaa au mnajimwambafai tu...Kuifanyia Subscription cost zake za mwezi mtawezaaa au mnajitanua tu
Matumizi yangu binafsi ya bundle kwa mwezi ni 150k na internet sio stable, starlink kwa mwezi ni KSH 6500 ambayo ni sawa na TSH 113k. Huoni ni affordable ikitoa na option ya kuconnect multiple devices?
 
Vipi supakasi voda
Vipi fiber za TTCL umetest
Vipi ISP kama Zuku umewajaribu
Starlink vilevile inamapungufu nafkiri labda ujasoma review za watu..wanalalamika kwenye kustream hasana matukio ya Live inakatakata sana
 
Back
Top Bottom