Saiv naweka matreni Kama yalivyo Kila nikiedit naliwa af mkeka og unatiki
Saiv Kama mbwai mbwai tupieni code wakuu[/QUOTE Ninasema na kufundishana kila siku humu kuwa kuna kitu kinaitwa positive editi sasa unachotakiwa ni kufanya positive edit kwa hiyo mikeka wewe yanakukuta hayo kwa sababu unafanya negative edit
Ninasema na kuelimisha humu kila siku kuwa kunakitu kinaitwa POSITIVE edit...hayo yanayo kupata ni matokeo ya kutokujua maana ya positive edit ....kuedit siyo sababu tatizo lako unafanya negative edit hivyo mkeka mama ukiwin mkeka mtoto unachanika lakini kwenye positive edit mkeka mama ukiwini basi na mkeka mtoto umewini .ila mkeka mama ukichanika mkeka mtoto unaweza kuwa unasonga
 
Hivi lost zinafutika au nikwa baadhi ya makampuni
Kuna sehemu ukiseti hazionyeshi ila hazifutiki details za mikeka,,,, maana zinalejea!!

Kwa ishu ya game ya az ,, wale wa GG , over 1.5 na over 2 5 ni won,,,,

Wale wa direct win au az dc wasubiri miujiza tu,,,,,, ila wajiandae kisaikoloji kama leo haitachezwa kumalizia hizo dk 5
 
hii imekaaje wadau mbona hawanilipi tangu jana?

1698649534177.png
 
Back
Top Bottom