snud95sozie
Member
- Jun 9, 2020
- 40
- 50
Ligi ya uturuki wakamaria iweken mbal na mkeka sio salama, sivaspor red mbil hajashinda
Fenebarche red mbil hajashinda
Fenebarche red mbil hajashinda
Hiyo droo 2-2, wameshinda extra time
Inter over 1 ameshindwa kutoa
Jaribu AiscoreWazee huwa natumia ki App cha flashscore kucheki matokeo..sasa nimetoka kucheki mwenendo wa matokea naona kama kina mis-lead hivi..naomba ushauri nitumie App gani? Inter si wakushindwa kutoa Over 1.5..
Kuna wahuni walimuona mapemaInter over 1 ameshindwa kutoa
Mkuu, unapata wapi ujasiri wa kuweka UNDER?? Timu always zinasaka MAGOLI. Kati ya OVER na UNDER kuweka UNDER ni RISK zaidi mzee.Beting ni hatari, kunamkeka mmoja nimechukua code hapa Liverpool vs Leicester (under 2.5) first half. Kinachoendelea mpaka Sasa ni maajabu.