Hawapo hewani sijui washasepa maana jana walianza kubadil namba ya kudeposit,na ukideposit kwa voda sasa wanakata kias kidogo si bure tena, wakaweka kodi 20% ingawa inarud kama bonus. Haya leo hawapo

Da wanapoelekea tutawaikimbia sasa
 
Wadau yani toka Jana natuma pesa kwenda safaricom lakini ina cancel tu halafu narudishiwa ujumbe huo mwenye kujua zaidi anisaidie
Screenshot_20190703-113809.jpeg
 
wakuu niaaidieni mechi tatu tu ambazo zitakuwa na option ya 1GG au 2GG, yaaani kwamba wafungane ila mmoja mmoja ashinde
 
Back
Top Bottom