BIG up sana Chief ... mm nlivurugwa siku ya kwanza tu. Ila ni 'kaplan' flan amaizing sn
naomba kusaidiwa hako kaplan, hali ni mbayaaaaaaaaaa!!, hebu angalia unihurumie,.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-30-06-54-27.png
    Screenshot_2016-11-30-06-54-27.png
    39.7 KB · Views: 23
Mzee haya mambo bana dah!

Cavs kalambishwa mchanga, San Antonio anakalishwa, Clippers anakaa, Lakers kinanuka, Houston kinanuka pia.

Yaani hakuna hata moja iliyokubali kwenye prediction zangu. Zote ni red.


Noma kweli kweli ... kuna kamkeka kengine nlicheza pts, LA Lakers wamezingua, hata vikapu 200 wameshindwa, sheeeenz!!

upload_2016-11-30_6-59-57.png
 
Tunajaribu tena ...

Liverpool FC - Leeds Utd
Liverpool FC
1.31
X

Dijon Fco - AS Monaco
AS Monaco
1.62
X

Valenciennes FC - Gazelec Ajaccio
Over 1.5 goals
1.48
X

Turin FC - SC Pisa
FC Torino
1.24
X

Sheffield United - Walsall FC
Sheffield United
1.41
X

FC Lorient - Stade Rennes
X/2
1.53
X

Stake:
Odds: 8.40


Walioufuata huu mkeka poleni sana. Maana km ni boxing basi hii ni technical Knock-Out "KO" daaadeki. Mkeka nlikuwa na matumaini nao sn huu lkn nimebaatisha timu moja tu (1/6) ... poor poor poor

upload_2016-11-30_7-7-17.png
 
Mzee haya mambo bana dah!

Cavs kalambishwa mchanga, San Antonio anakalishwa, Clippers anakaa, Lakers kinanuka, Houston kinanuka pia.

Yaani hakuna hata moja iliyokubali kwenye prediction zangu. Zote ni red.

Mkuu haya mambo acha kabisa. Naona kikapu huko NBA hakitabiriki siku hizi.

Yaani hapa lililobaki ni kucheza Live games tuu. Tena huwa navizia za wanawake.
 
Back
Top Bottom