Tujihadharali na point 1.4 huwa ni mbaya sana..kama jana galatasary kaminyima hela..hata arsenal alipocheza na norwich naye alininyima hela so point hizo huwa ni risk sana
 
Tujihadharali na point 1.4 huwa ni mbaya sana..kama jana galatasary kaminyima hela..hata arsenal alipocheza na norwich naye alininyima hela so point hizo huwa ni risk sana
1.4 iko powa mkuu usiwatishe wadau ila mbaya ni 1.46 hii point ni hatariii ila ni kwa mbet tu
 
Ndivyo niliyo ota ndoto yakweli
 

Attachments

  • 1449656209730.jpg
    1449656209730.jpg
    39.8 KB · Views: 263
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)... I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)... II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili).... H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)... A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...

Nina maoni Mkuu Rockcity native naomba ufanye edit ya nyongeza hapo juu kuwa Onyo Maelezo yeyote yale yanayohusiana na Whatsapp group hayatakiwi na ni kosa la jinai katika thread hii
 
Last edited by a moderator:
Premier betting:

Olympiakos-7
Gent-1
Roma-4
Valencia-1
Fc Porto-5
Luverkusen-7

:Tupia,subiria kucheka kesho
 
Back
Top Bottom