Lete slip moja tu uliyokula milion wacha kuwahadaa watu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umle mhindi siku kumi mfululizo wewe nani? Acha mambo ya kingese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii wiki nisipokua masikini walahi nawaambia Hakuna hela atakayonila kajibhai nakasikitika baada ya hiii wiki ni kati ya wiki ambazo nitazikumbuka sana katika maisha yangu ya kubet nimeliwa, nimeliwa,nimepuswa, nikachana mikeka, nikalose, not win + account balance 0000 lakin bado nimo tu hahahahahahahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…