Usiende kichwa kichwa. Subiri uone kama root atakuja na hiyo screenshot alio sema. Huko kupoteza laki ni kugusa tu.Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.
Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.
Usiende kichwa kichwa. Subiri uone kama root atakuja na hiyo screenshot alio sema. Huko kupoteza laki ni kugusa tu.
Mkuu pole wakati nwingine tunafanya mengine ykiona kimya tukiiona lazima mrejesho tutoe...daily wining tips yakijani mkuu chini kabisa kulia
Mkuu pole wakati nwingine tunafanya mengine ykiona kimya tukiiona lazima mrejesho tutoe...daily wining tips yakijani mkuu chini kabisa kulia
Panic hapo iko wapi??Umepanic braza.
Usipanick mkuu mbona hapo juu nimefafanua vizuri sana?Virtual naona hawataki toa ushirikiano afu Root mchoyo sana wa kutoa mbinu.
Muhimu chezeni in play tafuta odd 1.50 weka stake 100000. Cheza Mara 6hadi8 utakuwa umeingiza pesa nzuri kwa siku.
Hapo panick iko wapi mmeulizwa toka juzi hamsemi sasa msiambiwe??Usipanick mkuu mbona hapo juu nimefafanua vizuri sana?
Mimi naitumia zaidi VFL pale 2+ nje nje ila sio kwa timu zote ni baadhi kama Brazil, Argentina, Netherland, German, Ghana, Cout D'voire hawa wanatoa sana tu.Swali kwa Mkuu Root pamoja Koncho77 kuhusu virtual..
Kati ya VFC na VFL ipi ni nzuri kwa option ya 2+..
Sent using Jamii Forums mobile app
Waje na majibu hapa hahaha sio kutwambia tumetengeneza faida kadhaa bila kutuelimisha na sisi.
koncho77 usiishie ku like tu leta majibu
Pamoja sanaHabari aisee
1. Mechi nyingi sana kutabiri mshindi ni ngumu, hivyo basi njia pekee ni kuagalia timu gani inacheza na timu gani na pia twaangalia odds, mfano japan akiwa anacheza na Brazil upatikanaji wa magoli zaidi ya moja ni rahisi na odds zake ni 1.18- 1.3 Au waweza mpa Brazil win ingawa saazingine hutoka draw.
Timu ngumu sana kufungwa ni Cameroon na hiyo ni kama inacheza na England au Spain hapo utakuta wamekupa odds 1.16- 1,18 kwa goli 1 tu yaani over 0.5
Faida inapatikana kwa kuweka stake kubwa kweye hizo odds ndogo na sababu mechi inachezwa kwa dakika 3 hivyo ni rahisi sana kwa wewe kupata faida haraka endapo ukawa wacheza na hizo odds ndogo ndogo
Kiufupi sana sana nafata jina la timu na pia sababu nimeshacheza michezo zaidi ya 200 ya virtual kwa premier na williamhill najua timu gani itatoa na wakati gani hiyo timu haiwezi toa hivyo basi nacheza michezo mi3 afu naacha ipite 3 bila kucheza
Mkumbuke hapa jana huyo bets kaninyima kupata zaidi ya 1000,000 leo nimemuua kwa milan
Pamoja sana
unachezaje mkuuNiliachana na hizi mechi za kawaida sababu unaweza weka laki ukasubiria masaa mawili afu ukakuta umefungwa
Bora virtual dakika 3 unajua mbivu na mbichi
Niliachana na hizi mechi za kawaida sababu unaweza weka laki ukasubiria masaa mawili afu ukakuta umefungwa
Bora virtual dakika 3 unajua mbivu na mbichi