Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,342
- 34,026
Usiende kichwa kichwa. Subiri uone kama root atakuja na hiyo screenshot alio sema. Huko kupoteza laki ni kugusa tu.Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.