Kama kanji anatumia majini basi ni makali Kuna game nimeziangalia zilizocheza Jana asee unaruka hapa unatumbukia kule🤣
 
Stuttgart hawaamini kimechowakuta🤣🤣🤣🤣

Baada ya kkuongoza 2 Bila wakaanza show game,WAHUNI wanasema subirini tuwaharibie
Yaani walikuwa wanamshusha Bayern Munich siku sio nyingi

 
Yaaaani EPL mechi zote 10 nilizipa over 1.5 eti leo man city na arsenal wanatoka nyavu nyau daaaah!! Wakuu Hela ya Kanji ni tamu lakini ni ngumu sana yenye kukatisha tamaa😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…