We mzee una akil sana upewe mkataba wa bandari uupitie
 
Duu dalili nzuri hizi
bado huyo boya kumaliza dakika chache 5 tu na nyongeza kama 5
 
Mkuu hizi ni live play au?
Live aziwezi kuwa na odd kubwa hivyo kama ukidandia timu zilizo fungana kama hivyo ila mara nyingi nikicheza live huwa naangalia B position ndani ya dk 20 za kwanza ndiyo zinanipa mwongozo wa nibet namna gani
 
Mkuu nimeona BETGEN anafanya VIP ya 2 odd na imelost for one day kwa mwezi juu wa sita...vipi jamaa ni valid au kanjanja tuu?
One month ni Dola 40,miezi miwili ni 50 dollars.Nimetoka kuchat na muhusika,Niko najitafakar either nijilipue au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…