Mkuu kama unayo apk ya 22bet tupia basi hapaJmn nisaidieni najisajir na 22bet lkn kuna kipengele Cha date of issued na issure by celewi najaza nn hapo
Sent from my TECNO KD6a using JamiiForums mobile app
Burneley weka 1xWestbrowich vs wolves gg
Sevilla vs bilbao gg
Burnley vs west ham away win
Maana gawiwo la juu ni mill 3 ambayo hapati mtu mmoja lazima ligawanyweHuamin?
We kama mimi tu....sijui inakuajeHii game vipa wadau itafutwa au mpaka ichezwe ndo mkeka utikiView attachment 1772436
Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app
Mpaka masaa 48 yapite ndipo wataachiaHii game vipa wadau itafutwa au mpaka ichezwe ndo mkeka utikiView attachment 1772436
Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app
mbona hasiraOya toa bure acha zako kama hutkai si utajirike mwenyewe
Ee boss niko hapa kusaidia wasio jiwezaWew jamaa naamin mpk leo utakua na million Kama 400 kwenye account maan kila siku unakuja na fiksid
Yeah kaka, mi napokelea hela toka ulaya pia
Kwa nini unauza odds? Kama wewe unauwezo wa kubashiri kwa 100% zikatiki kwa nini usiweke B1 katika hizo odds zako,bila shaka baada ya mwaka utakuwa zaidi ya Dangote!Ee boss niko hapa kusaidia wasio jiweza
hapana ni voda kwa maana ya TIGO PESAVoda kwa maana ya M~pesa au?
hawa kama sio wanaijeria bac ni wakenya,maan mbinu za hawa watu ni hatariANY INTERESTEDView attachment 1772279
Hapana hela tu napokea toka kwa ndugu walioko kuleMkuu forex unafanya?
Mbona usiku huu washaanza lurefund pesa za watu kwa hyo game ya Man na LiverHii game vipa wadau itafutwa au mpaka ichezwe ndo mkeka utikiView attachment 1772436
Sent from my SM-A805F using JamiiForums mobile app
Hapana hela tu napokea toka kwa ndugu walioko kule
Nafikiri wamerufund wote,hata mimi sasaiviMbona usiku huu washaanza lurefund pesa za watu kwa hyo game ya Man na Liver
Hahahah mkuu nipe siri ya kumkimbiza panjali kimya kimyaBetting haina Bingwa.
Mda mwingine vipigo vinasaidia kukomaa na game.
Vpigo vikizidi kuna mbinu mpya utapata tu.
Kwa sasa nafukuza mwizi kimyakimya
Nimetoka mweupeWakuu hii option anayocheza mwenzetu ina maana gani?View attachment 1772485