Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,602
your prayers wakuu....Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Sina hamu na matrenyour prayers wakuu....
View attachment 1323281
kwanini,
ukibet kimasihar beti inawin ukubet kikazi unalose duh kweli pesa ya mashetani hiiView attachment 1323137View attachment 1323139
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila potelea pote siachi mpaka nirudishe hela zangu zote sina undugu na kanji
Sent using Jamii Forums mobile app