Sinasikia wameanza tumia tigopesa mpesa leoo
 
Enock ni muya


Hawa sijui PMbet watakaa bench hawa BetPawa nawatema kikosini sijui M-Bet nimechoka kubet correct score Meridianbet nawapatia red card moja kwa moja nanyooka na 1xbet
 
Naona watu wanashangilia 1xbet kurud kwa mobile money za kibongo...ila kwa sisi wazoefu wa hizi mambo tunawaambia kuwa hakuna kampun ya betting ya nje ya kitapeli kama 1xbet..1xbet ni wazur ukiwa unaliwa ila siku ukianza kuwala ndo utajua 1xbet ni watu gani..utafanyiwa mizengwe yote mwisho wa siku utashtukia balance inasoma 0..nawashauri wanaobet kwa 1xbet wafanye kwa caution kubwa....wazoefu watanielewa. Kwa sasa the best site ya nje kwa hapa bongo ni 22bet
 
teh teh teh naona mmeanza kujitokeza kwa rangi ile ile
 
teh teh teh naona mmeanza kujitokeza kwa rangi ile ile
Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…