Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia uamuzi wa kumpigia simu.
Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-
New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.
kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha. binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo. Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.