Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Mbaya zaidi ukute wameshirikiana na jamaa kusave hivyo kama joke
 
Pole,wanakula wenzio hapo.Sepa mapema utakufa na UKIMWI

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Labda kwa sababu ni 'DEMU', angekuwa mpenzi labda angesave jina lako..
 
Mhhhhh. mi sisemi hata wanaume pia wana save namba sa videmu vyao like plumber, electrician, mechanic nk. Mimi narudia tena kwamba msishambulie wanawake tu tena nyie wanaume ndio worse:eyebrows:
 
Ana umri gani?kama anaishi kwa wazazi, ladba anaogopa wasione jina la kiume.kama ni mtu mzima au anajitegemea,basi ujue upendwi.
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.

mh! kaka hapo mmejihifadhi wengi,na hiyo ndio formula ya kuwapanga foleni.
lakini kabla haujaconclude km nilivyoona,je ulimwuliza na akasemaje?ni miss independent au anaishi kwao? respond hayo maswali mawili then tuangalie possible solution!
 
hapo kuna mawili, either ana njemba nyingine ambaye ndio muhimu au una tabia za kike. mimi binafsi naweza kum save mtu kwa takia zake, e.g mchumi, bahili, tupatupa, ma outing, mabusu etc.. hi ni kutegemea na tabia na jinsi ulivyo.
 
mh! kaka hapo mmejihifadhi wengi,na hiyo ndio formula ya kuwapanga foleni.
lakini kabla haujaconclude km nilivyoona,je ulimwuliza na akasemaje?ni miss independent au anaishi kwao? respond hayo maswali mawili then tuangalie possible solution!

Anaishi kwao na tene ni miss independent pia!
 
Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili
 
Binafsi simu yangu ni yangu peke yangu na ya mke wangu ni yangu pia.
Sheria hii inaongoza ndoa yangu.
OTIS
 
as far as i am concerned, it is forbidden - either way (i.e, hands and eyes off your spouse's phone)
 
Wanandoa ni mwili mmoja kama hakuna kusalitiana kwanini mfichane simu? labda mmojawapo aseme wazi kwamba mimi ni msaliti na naomba uachane na simu yangu vinginevyo utapata habari za kukukosesha usingizi basi. Ingawa ninajua ya kwamba mambo mengi anafuta lkn simu ya mwenzangu sina kikwazo nayo kabsaaa.

Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili
 
Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili

Hakuna kanuni kwenye hili,ni makubaliano yenu na mazoea tu ambayo yanaweza kuamua simu ishikwe na mwenzi/mpenzi wako au lah.
Kwenye uhusiano usiishi kwa kanuni au taratibu za watu wa nje,jifunze kutoka kwao lakini usiwaige....kama mkeo/mumeo anataka simu au wewe unataka ya kwake,ni uamuzi wako/wake kumpa au kutompa kutegemeana na yale unayoyafahamu wewe yaliyo ndani ya simu yako.
 
Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili

Yake wala ctaki inikaribie acha kuishika,yangu atumie au awe nayo wakati wowote akitaka!moyo wangu wa bigjii hauwezi kuhandle mambo mazito ya kuumiza moyo hata joto la jua tu unayeyuka!nilishajitamjaua na kuchagua namna ya kuishi!
 
duh mie bwana mtu akishakuwa kwenye ndoa amekubali kuwa chake changu na changu chake ..
hivyo sim yangu aweza pokea na kucheki sms any tym. sasa wewe kama huna la kuficha tatizo lipo wapi bana.
 
Back
Top Bottom