Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Nyamayao nampata sana huyu Iribini ila yeye akinivunjia ndoa si nami navunja yake afu namtosa vile vile!!!!

mmh nije nisheee huyo wako ya kweli hayo N??? hahaaa najua wat u mean dear!!

Nani alikudanganya mwanamke ana ubavu wa kuvunja ndoa?
 
bac kama hutaki ku share nitakuja moja kwa moja.....
 
Dadadadadada! LOL! Kaangalie vizuri huenda bimkubwao keshatembelea Bagamoyo!

Kaka Crispin si lazima uende Bagamoyo, mimi naamini kauli na matendo, usikivu na heshima vya mwenzi wako au wewe mwenyewe vvyaweza kuwa Bagamoyo tosha kabisa katika nyumba yenu so unachagua mwenyeewe ni maisha wataka kuishi
 
bht nimekwambia nakumiss mbona hujajibu? nijibu bifoo waifu hajarudi na kabla geoff hajakumbushia kacontribyusheni ka neksti manthi .

jamani mi si ndo nilikuambia anzia jana ukanichuni we haya tu bana!!! misd so much sweet banana (khee klorokwini ni chungu basi)

mweeee huyo Goeff kwangu kachuna break za mbuzi haniulizi tena!!!! nshampa msimamo wangu kwamba nitakrash ikibidi ili niwepo kwenye tukio
 
Nani alikudanganya mwanamke ana ubavu wa kuvunja ndoa?

hujaona eeeh!! ntakuwa wa kwanza kwako basi!!! i will break it till there are no pieces to break sasa
 
bht nimekwambia nakumiss mbona hujajibu? nijibu bifoo waifu hajarudi na kabla geoff hajakumbushia kacontribyusheni ka neksti manthi .

Tatizo lako unasahau kuwa mweka hazina wa kamati nafuatilia steps zako. Aisee dawa ya manyaria, kontribyusheni iz needed imedietelii!
 
Kaka Crispin si lazima uende Bagamoyo, mimi naamini kauli na matendo, usikivu na heshima vya mwenzi wako au wewe mwenyewe vvyaweza kuwa Bagamoyo tosha kabisa katika nyumba yenu so unachagua mwenyeewe ni maisha wataka kuishi

Natamani nikuamini lakini machale yananicheza. Ngoja niombe nguvu za Roho Mtakatifu.
 
Tatizo lako unasahau kuwa mweka hazina wa kamati nafuatilia steps zako. Aisee dawa ya manyaria, kontribyusheni iz needed imedietelii!
hahahahahahah!
SAFI SANA AKAUNTANTI WANGU!
 
jamani mi si ndo nilikuambia anzia jana ukanichuni we haya tu bana!!! misd so much sweet banana (khee klorokwini ni chungu basi)

mweeee huyo Goeff kwangu kachuna break za mbuzi haniulizi tena!!!! nshampa msimamo wangu kwamba nitakrash ikibidi ili niwepo kwenye tukio
aaargh ! ile ya jana imeeksipaya bana! hebu soma hii sredi huko behaind. nimesahau posti nambari ngapi. rudi rivazi!
 
Natamani nikuamini lakini machale yananicheza. Ngoja niombe nguvu za Roho Mtakatifu.

Kweli mkuu coz kama mtu anajituma kwa kiasi unachokitaka, ana ku care vizuri, heshima mbele, kama hivyo sisi simu zetu tuna share na sijawahi suspect anaything bad au kuona, basi hata kama anafanya ni mpaka nimkute na awe proved guilty otherwise mambo ya ku guess unajiharibia maisha mwenyewe na watoto wako
 
kama kweli unampenda mke or mume wako na unachochote kinyume akuna sababu ya kunyimana cm kama mungu amewaunganisha pamoja cm icwatenganishe
 
Back
Top Bottom