Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
Ni tabia chafu sana na inaonyesha kutojiamini!
Jamani JF inasumbuaaaa,ni mie mwenyewe au?
wekeni software ambayo itaruhusu kila mmoja kupata sms na calls zote za simu ya mwenzake kama hamjafa kwa presha
Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
kipima pembe,utapokuta sms mke wako katongozwa,hata kama alimkatalia,utamwelewa kweli?...kama wa kurusha ngumi nahisi utazirusha sana....
Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
Haiko sawa kukaguana, lakini pia kama uko msafi haiko sababu ya kuficha.... jiachie tu na simu zako kwa mwenzi wako!Kama unamwamini kwa nini kila akirudi uanze kucheck sent sms,inbox,received call and others mi naona haijakaa sawa kufanya hivo ni kutokuwa na uaminifu.
Wala haisumbui!! Labda uwe na cha kuficha! Kama huna cha kuficha, huhitaji kuogopa. Atasachi, atagundua hamna kitu then ataacha. Akikuta kitu ambacho hakijakaa sawa atakuuliza. Utampa maelezo! Kama huna cha kuficha hutadanganya. Usipodanganya ukweli utasimama hata kama hataamini. Ila ukidanganya, uongo hautasimama. Siku zote mambo yako hivyo! Siogopi kusachiwa asilani!!
Kitendo cha kwenda bafuni kuoga bila kuacha simu yako, ni dalili tosha kuwa mume/mke atajenga mashaka juu yako.
too bad, mwenzio akiwa na kipaji cha kuperuzi simu yako wakati wewe huna time kabisa na simu yake
Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
Raia mwema haogopi polisi. Mwenzio akisachi simu yako, mwachie asachi sana. Hatimaye atachoka tu. Ila kama una kitu cha kuficha hutajisikia vizuri ndo chanzo cha ulalamishi. Hiyo ni sehemu ya package ya kuwa wawili. Wawili si mmoja. Si mkeo au mmeo? Simu yako yake.....na yake yako!!! Mnachangia vingi sana, kwa nini simu ikutie homa? Una kitu cha kuficha? kama huna kwa nini ukereke? Mwachie tu asachi. Na wala wewe usirudishie, yaani usisachi yake!
Inawezekana kuna kitu kahisi. Wasi wasi ni sehemu ya ubinadamu na ni mpango mzima katika mambo ya mapenzi. Wewe inatakiwa umsaidie kwa kumuondolea wasi wasi. Utamuondoleaje wasi wasi? ..... Akikusachi, mwachie asachiiiiiiii.... hadi achoke. kwani inakupunguzi nini??
hence nimeshapewa jibu ..i m supposed to read between lineskuwa kwa nini nilikukataza ila na bado ukanidharau ukaendelea kuwasiliana na ex wako? ..akaniambia kuwa ameshanichoka na amechoshwa an maneno yangu ..akaniambia nijichagulie mwenyewe kuwa naye ama nisiwe naye ..nikamwambia tuachane ..akakaa na mimi kama nusu saa hivi bila kuongea kitu ..akaamka akaondoka zake. hakutaka hata nimsindikize....maana yake ni nini?sipendwi?