Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Niliwahi kuwa na mahusiano ya muda mfupi na binti mmoja hivi yapata mwaka sasa umepita. Na tangu wakati huo tumekuwa na mawasiliano ya mbali sana yaani tunaweza kuwasiliana mara moja baada ya miezi kadhaa, sasa jana ilikuwa moja ya siku hizo na ndipo stori inapoanzia,

Nilipokea simu mchana kutoka kwa huyu binti akidai alitaka kunipa hi tu, tukaongea kidogo na nikaahidi kwamba nikipata nafasi nitamtembelea siku moja. Usiku nikiwa tayari nimeshalala nikapokea simu tena kutoka kwa huyu binti na akaniuliza kama nilikuwa nimeshalala nikamjibu ndio akanitakia usiku mwema akakata simu.

Baada ya muda nikapokea tena simu ikitokea kwenye namba ya huyo binti tena ila nikaamka nikaipokea ila sasa sauti ikatoka ya kiume, sauti hiyo ikaniuliza kama nilikuwa namfahamu huyo binti (ikitaja jina lake) nikamjibu ndio akaniuliza ni nani kwangu nikamjibu huo ulikuwa usiku mwingi sana na sikuwa kwenye mood ya kujibu maswali ya aina hiyo, nikakata simu.

Baada ya dakika kadhaa simu yangu nyingine ikaita tena na nilipopokea nikakuta ni yule yule bwana na ananiuliza maswali yaleyale, Ah i got mad...........................................................

Kwa maongezi ya luxury ni bora kumcall mtu wakati unaohisi hayupo bize ila pia hajapumzika.
Mida ya usiku mapema mapema inakuwa mzuka, unacopy sauti ya kuendeshea vipindi vya ladha laini then mnalonger.
Ila mida ya saa 8 gerentii mtu ameshalala, kumtakia usiku mwema yanini?
Muache yamkute...
 
Niliwahi kuwa na mahusiano ya muda mfupi na binti mmoja hivi yapata mwaka sasa umepita. Na tangu wakati huo tumekuwa na mawasiliano ya mbali sana yaani tunaweza kuwasiliana mara moja baada ya miezi kadhaa, sasa jana ilikuwa moja ya siku hizo na ndipo stori inapoanzia,

Nilipokea simu mchana kutoka kwa huyu binti akidai alitaka kunipa hi tu, tukaongea kidogo na nikaahidi kwamba nikipata nafasi nitamtembelea siku moja. Usiku nikiwa tayari nimeshalala nikapokea simu tena kutoka kwa huyu binti na akaniuliza kama nilikuwa nimeshalala nikamjibu ndio akanitakia usiku mwema akakata simu.

Baada ya muda nikapokea tena simu ikitokea kwenye namba ya huyo binti tena ila nikaamka nikaipokea ila sasa sauti ikatoka ya kiume, sauti hiyo ikaniuliza kama nilikuwa namfahamu huyo binti (ikitaja jina lake) nikamjibu ndio akaniuliza ni nani kwangu nikamjibu huo ulikuwa usiku mwingi sana na sikuwa kwenye mood ya kujibu maswali ya aina hiyo, nikakata simu.

Baada ya dakika kadhaa simu yangu nyingine ikaita tena na nilipopokea nikakuta ni yule yule bwana na ananiuliza maswali yaleyale, Ah i got mad...........................................................

kumbe mko wengi ambao hamjui how to deal with these isssues, kwani huyo mwanaume hawezi kukudanganya? na bado akaendelea kutoka na huyo mwanamke wako, au hata akikuambia ukweli then ukamwacha maana yake na yeye ndio atamuacha? si ajabu ndicho walichokuwa wanakitaka u give up jamaa ahalalishe.Kama unataka ushaihidi si kuna njia nyingi za kuupata bt to deal with mwanaume mwenzio hapo kwanza huyo mwanaume utakayemfuata ataona ni jinsi gani ulivyodhaifu umeshindwa kumdhibiti mwanamke uliyenaye..,na sio tu kumdhibiti labda hata majukumu yako yamekushinda no wonder huyo dada akatafuta msaidizi lol

huyo mwanaume alikupigia simu na yeye hajiaminin unampigiaje simu mwanaume mwenzio bana eti unamuuliza kama anamjua mwanamke uliyenaye, yeye angedeal na huyo mwanamke full stop.
 
we ndo mzembe wa mwisho we unadhan huyo dem atasema ukwel?,me nishahisi unamkaza dem wangu nakufuata tena kwa ustaarabu kabisa nakuhoji (na beer nakununulia kama unakunywa) unanipa stori nzima nikitoka hapo naenda kumbwaga mzima mzima...
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
 
Fafanua vizuri, unaweza kuwa na simu kwa ajiri ya ofisini na unaweza kuwa na simu kwa ajiri ya matumizi binafsi. Kama ni simu ya mambo ya kazini kuzimwa na kuachwa ofisini baada ya muda wa kazi si ajabu. Hivyo Jaribu Kufafanua Tuelewe.
 
hapo inaonekana kuna jambo linafichwa hata ingekuwa inatumika kiofisi huwezi kuiacha ofisini kwani hiyo ni landline???

Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

Simu ya ofisini ipo ni tofauti na anayoitumia,na hata kama ni kwa ajiili ya kiofisi kwa nini afiche namba isijulikane kwa mumewe?
 
Kaficha au hajakwambia tu?

Ulimuuliza akakwambia hana simu nyengine kazini?
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

toa shaka,bado anakupenda sana,hilo ndio muhimu ktk ndoa. hiyo simu ni chachandu ya kukuongezea malavidavi akirudi home. Akikuchoka utaona vituko live bila chenga home kwako
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

maybe ni kuboresha penzi lenu aliinunua ili awe anakutest km mtu mwingine dont take things negatively all the time.
 
mwaka huu,hakuna rangi tutaacha ona arifu! wamama wameingia msituni! talk of exploring new levels,tabia za kinababa zimeingiliwa.kha!
mchunguze huyo,kuna mahali atakuwa anamaintain apartment kama bado hajajenga. usiulize kuhusu account za benk,atakua anazo hadi south africa

Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

Ulijuaje kama ana simu ya pili, anaiweka ofisini, akiondoka anaizima? Amekwambia, umeambiwa, umesikia?
Picha za maluelue!!! Inaweza kuwa ama:
1. Uaminifu wake au kati yenu mdogo.
2. Una wivu kama bata na unamsumbua kwa miwivu yako ya kuwa asiwe na mawasiliano na watu zaidi yako; kwa hivyo ameamua kufanya hivyo kuondosha shari lakini si kwa sababu si mwaminifu au hakupendi.
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla. We shukuru Mungu hujamfumania. Endelea na maisha. Huyo yuko innocent mpaka atakapopatikana na hatia!

Afu hii tabia ya kuchunguzana ndo inasambaratisha ndoa. If I may ask, ilikuwaje mpaka mtu ukajua mkeo ana simu nyingine anaiacha ofisini? Upelelezi katika ndoa ni hatari sana!
 
Labda uwa unapekua sana simu yake ndiyo maana ameamua kufanya hivyo ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima kwani kuna kutaniana sana maofisini anaweza kutaniwa na mtu wewe ukadhani unaibiwa mkeo.
 
Back
Top Bottom