Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?
Yaani haya mambo bwana....
Hivi ulishawahi kusikia kuwa sheria zimetungwa ili zivunjwe? na kwenye mapenzi basi ni hivohivo...
Mi kwa mfano nilikua kimbelembele sana kuhusu wapenzi kuruhusiana kupokeleana sim au kusomeana msg, so nilipopata mpenzi hata hatujawahi kujadili hii ishu, mi nikawa nashika sm yake, nasoma msg, yeye anashka sm yangu ansoma msg, hiyo ilikua kuanzia 2007, ila ukiniuliza sa ivi, nina zaid ya mwaka sijasoma hizo msg, kama kunasiku alitaka nimpokee mgeni wake, akanipa sm yake huyo mtu atanipigia, nilikaa nayo yaani leo ndo mmenikumbusha kuwa hata siku hiyo sikufikiria about msgs and all that stuff.
These thngs ar natural...wewe unapokua very reactive to the law of "privacy" na kwamba sim ni mobile, ndo hapo mwenzio, automatically anadhani.."Aaahaaa, kuna kitu hapa"
Relax guys, dn make it a big deal, an automatically sh wont see it as a big deal.
Ila kwa wenye "mambo mengi" shuhuli si pevu... Nyie nawashauli mbaki na sheria yenu ya hamna kugusa sim ya mtu....