Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Huyo dada ni mshenzi wa tabia, kwanza mwizi halafu anatukana, chukua namba yake, na umfutilie tu ujue anaishi wapi na anafanya kazi wapi, ukishajua hayo yote, ck moja mwite au umfuate hukohuko umpe kbano hata kama utatumia watu wakusaidie. Mimi ilishanitokea hiyo na alikuwa ananitukana kila siku nikimwambia malaya mwenzake(mume wanga) anakuwa makali, nilimfuatilia nilipomujua vizuri wapi naweza kumpata, nilimfuata nilimtandika hasa tena mbele za watu, tangu siku hiyo alikoma sikuwahi kuona simu yake wala sms

Naona somo la Nyamayao linaeleweka vizuri sasa,

Dawa ya moto ni.....

Safi sana binti!! Hakuna kulala......and People's ...........Najua mtamalizia!!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Labda amependa sana ndo maana kamtukana si huwa nasikia love is blind, not sure if love is deaf-mute
 
huyo bwana mshamba sana anagawa namba yake kwa kimada wenzake wanaowaheshimu wake zao wale wenye nidhamu ya woga wana simu ya home na ofisini akirudi hata akikuachia masaa kumi hukuti msg wala simu ikipigwa hapo ikipigwa cm niya kazi tu akienda ofisini ndio anawasiliana na vimada kwenye line nyingine na cm ambayo hujawahi kuitia machoni.nakushauri achana nae **** huyo mwanamke anatapatapa mwisho wa siku huyo ni mumeo ng'ang'ania hapohapo hakuna kuondoka akitaka aondoke yeye.
 
Usije kunifanya nikamsaidie hubby kupanga ofisi yake this week end; Lol. Kumbe kuna simu mbili. Makubwa!

huyo bwana mshamba sana anagawa namba yake kwa kimada wenzake wanaowaheshimu wake zao wale wenye nidhamu ya woga wana simu ya home na ofisini akirudi hata akikuachia masaa kumi hukuti msg wala simu ikipigwa hapo ikipigwa cm niya kazi tu akienda ofisini ndio anawasiliana na vimada kwenye line nyingine na cm ambayo hujawahi kuitia machoni.nakushauri achana nae **** huyo mwanamke anatapatapa mwisho wa siku huyo ni mumeo ng'ang'ania hapohapo hakuna kuondoka akitaka aondoke yeye.
 
ni makosa makubwa sana kupokea cm isiyoyako ndio mana kila mtu anayake

Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Tafsiri yake ni kwamba ana njemba ingine pembeni na hataki hiyo njemba ijue kuhusu wewe. Njemba ikiona jina la Khalima wala halitamaindi. Stuka.
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
We msevu la kiume andika Joti n.k halafu fanya ujanja aone na yeye halafu
uangalie atalichukuliaje?
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.

Mbona hapo kila kitu kipo waaaazi....tena uchi kabisa!!!! Ujue huli peke yako...haya Funguka kimawazo sasa..
 
haha situation luking kinda of bad...wewe chakacua tuu lakini mpo wengi so just enjoy bila kuweka nanga hapo
 
Tafuta demu mwingine tu! Bila shaka anakuona kuwa "wa kuzugia."

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Yeye ndo anakufahamu zaidi,hadi kukubatiza Khalima! Huenda wewe ni jianaume kama binti Khalima. Pole sana kwa kuwa kwenye msurulu wa wapiga mpini wa huyo demu wenu maana si wako peke yako.
 
Hapo kuna shida mkuu, funguka!

unajua ishu ya mapenzi sijui Mungu aliumbaje yaani! kama hapa kila kitu kiko wazi ila kwa walio nje, kwa muhusika mwenyewe haoni, rafiki yangu Chipanje ndio kwanza anaomba ushauri, yuko 50/50, labda inawezekana au haiwezekani na inawezekana haya mnayomshauri akaenda kumwambia huyo mpenzi wake kuwa 'jamaa wamesema itakuwa kweli we una mtu' dada akijitetea basi yanaisha kiulaini tu na Chipanje anaona JF mnataka kumvunjia ndoa yake bure

Mi sishauri hapo

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Pole Mheshimiwa sana! Hata hivyo kama alivyokwambia mdau-ment mwenza hapo juu kuna wenzako wengine wameseviwa such as "Mzushi" "Voucher" "Mcharuko" "Pasuakichwa" "Speartyre" huoni wewe liko afadhali ? Pole mkubwa! Oooh-maaama!
 
Me siku nikikuta hivyo kwenye simu ya mwanamke wangu naipasua mbele yake coz ananivunjia heshima na bora angeniambia kwamba haitaji kuwa na mimi kuliko kuleta ujanja ujanja,au mkuu kama ulikuwa unatoa huduma then huduma zote kata alafu wewe kula tunda kama kawaida wala usiangaike tena.....

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.

shukuru kwa hilo,wanaume kibao mjini enzi zile walikuwa wanawasevu wake zao kwa jina la 'gewe' baadae ikaja 'tibaigana' na siku hizi ma wife wengi mjini wanaseviwa kwa jina la 'kova'.
Usiniulize kwa nini,it is for obvious reasons ukizingatia ndoa za kibongo.
 
Pole Mheshimiwa sana! Hata hivyo kama alivyokwambia mdau-ment mwenza hapo juu kuna wenzako wengine wameseviwa such as "Mzushi" "Voucher" "Mcharuko" "Pasuakichwa" "Speartyre" huoni wewe liko afadhali ? Pole mkubwa! Oooh-maaama!

Ahsnte judgement!
 
Back
Top Bottom