Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!
 
Hata minjemba mingine inafanyaga hivyo. Inaboa sanaaaa! Yaani hapo inaonyesha wazi kwamba haumo kichwani mwake kabisaaa! fyuuuuuu!
Hapo na mimi nachukua simu yangu naanza kubofyabofya na kucheka kwa saaana.
 
ask her who is keeping you busy, ama mtest kwa kumwambia i can see you are busy with the phone ngoja nikuache ukimaliza niambie.halafu uone ata react vipi. ukiona bado yuko busy na simu basi kuna mtu anamwmabia vitu vya KUMFURAHISHA
 
Hapo jibu ni simple. Kuna mtu anamweka busy zaidi kuliko wewe. Of course indication kubwa ni kuwa wewe unamtosheleza kimahitaji zaidi ila haenjoy sana kuwa na wewe. she is there as a matter of convenience yaani coz ur married.
Solution: Usimzuie kufanya hivyo maana atakufanyia makubwa zaidi. Wewe chukua simu uanze kuchat pia halafu onyesha kuenjoy sana chat yako hadi unavunjika mbavu. Baada ya hapo cheki reaction ya mkeo urejee unipe jibu then nitakueleza next step. Good luck mkuu
 
KWA KIFUPI ASIYEKUWAPO NALAKE HALIPO...................you are no longer a priority to her someone else is.........ujue wewe tena kwishney.....
 
:whoo:

MBONA RAHISI TU HIYO!!!!!!!!!!!!!

NA MIMI NACHUKUA SIMU NAANZA KUCHATI NAE KWA MA-SMS HAPO HAPO TULIPO na kama zeze natoka nilipo naenda pembeni kidogo namkon'goli simu.

NGOMA KWISHA.
Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!
 
Sasa wote mkiwa bizzy itasaidia nini hapo??!!
I think hautakuwa umesolve tatizo!!

Hata minjemba mingine inafanyaga hivyo. Inaboa sanaaaa! Yaani hapo inaonyesha wazi kwamba haumo kichwani mwake kabisaaa! fyuuuuuu!
Hapo na mimi nachukua simu yangu naanza kubofyabofya na kucheka kwa saaana.
 
Vipi ukikuta jamaa wala hamwambii chochote hiyo inamaanisha nini??!!
Ingawa demu anachat huku anacheka kwa sana!!

ask her who is keeping you busy, ama mtest kwa kumwambia i can see you are busy with the phone ngoja nikuache ukimaliza niambie.halafu uone ata react vipi. ukiona bado yuko busy na simu basi kuna mtu anamwmabia vitu vya KUMFURAHISHA
 
Duh!!Hiyo kali mkuu,inabidi kwa waliooa waitest lakini sijui kama ni suluhisho??!!

:whoo:

MBONA RAHISI TU HIYO!!!!!!!!!!!!!

NA MIMI NACHUKUA SIMU NAANZA KUCHATI NAE KWA MA-SMS HAPO HAPO TULIPO na kama zeze natoka nilipo naenda pembeni kidogo namkon'goli simu.

NGOMA KWISHA.
 
Yap nimekupata bulaza lakini twende na mambo yote mkuu,vipi asipo onesha rection yoyote??!!
What next??

Hapo jibu ni simple. Kuna mtu anamweka busy zaidi kuliko wewe. Of course indication kubwa ni kuwa wewe unamtosheleza kimahitaji zaidi ila haenjoy sana kuwa na wewe. she is there as a matter of convenience yaani coz ur married.
Solution: Usimzuie kufanya hivyo maana atakufanyia makubwa zaidi. Wewe chukua simu uanze kuchat pia halafu onyesha kuenjoy sana chat yako hadi unavunjika mbavu. Baada ya hapo cheki reaction ya mkeo urejee unipe jibu then nitakueleza next step. Good luck mkuu
 
Powa ntaitafuta mkuu lakini unaweza kunipa michapo 2 kabla cjaenda kuitafuta!!

Vegule umenifurahisha kweli...........Eng Smasher kuna movie inaitwa 'only two can play this game' itafute uitizame you will get more ideas
kujua kama she is into you ama yupo basi tu bse ya ndoa
 
Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!

mkuu wengine wanafanya hivyo ili waonekane wako important, ni low self esteem inawasumbua halafu wanaishia kudhani wanakuumiza

it is very simpo mkuu... leave the place or take the phoen and stand up to be a man... life without principles is like car driving with doors wide open, everything will fall outside in corners

Acid
 
Duh!!Hiyo kali mkuu,inabidi kwa waliooa waitest lakini sijui kama ni suluhisho??!!

:whoo:

MBONA RAHISI TU HIYO!!!!!!!!!!!!!

NA MIMI NACHUKUA SIMU NAANZA KUCHATI NAE KWA MA-SMS HAPO HAPO TULIPO na kama zeze natoka nilipo naenda pembeni kidogo namkon'goli simu.

NGOMA KWISHA.

MKUU MBONA HII INAWATOA?? KWA SABABU KAMA YUKO NA MWINGINE MAANA YAKE UNA-BLOCK HAPO KATI KATI.

TENA WALA SIMTUMII ZA MAPENZI NAMTUMIA TU KOMEDIA ZA TOM & JERRY.

Na kama ni kwa mdundo wa SMS najiunga kabisa na SMS mia moja za service provider alafu nahakikisha mpaka ziishe
 
Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!

maana yake hana interest na maongezi yenu. Kwa kweli huo ni ukosefu wa adabu,jee ndoa yenu ina muda gani?
 
Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!

hapo usimuongeleshe.we simama rudi home.akija kanuna ndo unampa makavu.unamwambia dharau zake za kua busy na simu zilikushinda.asiporudi basi ujue alikua ameshapata mtu muhimu zaidi na wewe ulikua unblock njia yake
 
inakuwaje mkeo afanye kitu kama hicho halafu wewe ukae unamchekea tu kwa nn usimweleze kuwa hupendi ili aelewe kitu gani afanye na kwa wakati gani. Ndoa za siku hizi zimevamia na dot com wanaume wanakosa sauti na maamuzi mbele za wake zao ni ujinga huo, m/ume simama kama m/ume daima na komesha ushenzi kama huo mapema kwenye ndoa achana na ushauri wa wewe pia kuchukua simu na kuanza kuchat

inachotakiwa ni kila unapokuwepo m/ume na m/mke atambue anatakiwa kufanya nn mbele yako na vice versa kwa m/mke kwa m/ume
 
Walikuwa kwenye kifunction fulani hivi so inakuwa ngumu kuondoka kivile mbele ya umma!!

hapo usimuongeleshe.we simama rudi home.akija kanuna ndo unampa makavu.unamwambia dharau zake za kua busy na simu zilikushinda.asiporudi basi ujue alikua ameshapata mtu muhimu zaidi na wewe ulikua unblock njia yake
 
mkuu wengine wanafanya hivyo ili waonekane wako important, ni low self esteem inawasumbua halafu wanaishia kudhani wanakuumiza

it is very simpo mkuu... leave the place or take the phoen and stand up to be a man... life without principles is like car driving with doors wide open, everything will fall outside in corners

Acid

Nimekusoma vizuri sana mkuu. Chukua simu switch it off, alafu endeleeni na maongezi yenu ya faragha....Inakuwa haina maana mko faraga alafu yeye anakuwa busy na chatting....
 
Hapo umenena mkuu lakini jamaa aliamua kukaa kimya so alikuwa anamaanisha nini??!!
Au ndo mambo ya kuwekwa kwenye chupa o mapenzi matamu??!!

Back
Top Bottom