Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

.hivi kama wanandoa hawana siri,sasa siri za simu zinatoka wapi?kwa kweli haileti picha kabisa kwani hata umeme hamna
 
inaonyesha bado anakujali na ndo maana hataki ujue mahusiano yake ya nje ya nyumba yenu.

Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

Na vipi mwanaume anapokuwa anaacha simu kwenye gari akifika nyumbani au anaiweka kwenye silent ? ha ha ha ha
 
fanya uchunguzi kabla ya kumhukumu, kama ni simu amepewa na ofisi inawezekana ana sababu za msingi kuiacha ofsini baada ya saa za kazi, kama ni vinginevyo basi pole zako unae msaidizi.

Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?
kwa mtizamo wangu,naona kama mumekubaliana muwe mume na mkee basi mumekubaliana hata kutajiana siri na kuziweka wazi kwa mwenzako.suala la simu linaharibu ndoa nyingi sana.mimi hapo naona mwanamke ankosaa uwe na privacy ya nini? lakati mambo ya privacy unayo tayare.
 
Anatekeleza semina elekezi iliyotolewa hapa jamvini juu ya infidelity, na ameamua kuzingatia sheria hizo na ujuzi aliopewa juu ya infidelity. Kama na wewe unataka kujifunza itafute hiyo thread
 
Naomba kuapata ushauri kwenye hili jambo ambalo mpaka sasa linanitatiza sana,katika maisha ya ndoa naamini kuwa hamna siri baina ya wanandoa,lakini inapokuja kwenye swala la simu,nakubali kwamba simu ni privacy ya mtu lakini inapokuja pale ukagundua kuwa mkeo anatumia simu mbili na hiyo moja huwa anaiacha ofisini na alikuwa akificha usiijue hiyo namba,anaitumia akiwa ofisini tu muda wa kurdi nyumbani ukifika anaizima na kuiacha ofisni.Je hii inaleta picha gani?

Ndugu yangu hivyo vitu vitakuumiza kichwa achana navyo...anaweza akawa na simu 10 nyumbani .. lakini landline 1 ya ofisini inaweza kukuwacha wewe nje ya ulingo..

Achana navyo.. ni juu yake kubeba kuacha ofisini.. etc..
 
Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia uamuzi wa kumpigia simu.

Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-

New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha. binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo. Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png
 
Dont say that mr. hiyo issue ni ya kweli na mpaka sasa najuta na simu yanu iko na pass words muda wote.
kumpa mpenzi wangu simu nimekoma
 
a e i o u
ma me mi mo mu
ka ke ki ko ku
da de di do du
...............
 
Uh!hahahahaha,
igzo hili LIMEDHAMINIWA NA:JF/JF THE H0ME OF GREAT THINKAZ!

Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia uamuzi wa kumpigia simu.

Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-

New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha. binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo. Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png
 
Hiko kidude kwan kwel?lazima itakuwa umeharibika kisaikolojia!!una nchi moja na nusu point dot dot,sifuri sifuri,POLE
 
sasa hiyo ishu ni kweli au uyo x wako anakusingizia?
 
ma'swagga unajua kati ya haya mengine ni kweli na mengine sikuwa nayajua kuwa ndo anavyonichukulia
that why iliniuma sana.
 
Thanks lakini sio kidogo kiasi hicho ila pia najitahidi kukitumia si unajua mimi mtoto wa pwani.
 
Hiviiiii, ingekuwaje kama yeye angekuwa amekupa cm yake kisha x boy friend akamsagia kama hivyo??????? Ungejisikiaje???
 
Back
Top Bottom