Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

hata Yesu aliwaambia wale watu waliokuwa wanataka kumpiga mawe mwanamke aliyezini, akawauliza kama kuna aliyemsafi na ampige mawe....je walimpiga?...tafakari
hey, dont take this kwenye ndoa ina mahala pake. Si ndiyo?
 
endelea kuomba maana dunia ina mambo mengi maana ubavu wako hautembei nao kila mahali omba hata akifanya huko
usijue aendelee kukuheshimu ndo la muhimu basi

Preta;amsamehe tu hizo ni ajali ndogo ndogo ambazo huwa zinatokea[/COLOR][/SIZE][/FONT]

Preta ajali kubwa ni zipi katika ndoa kama siyo hiyo mojawapo? Kwa mtu unayejuwa ni mumeo/mkeo unagunduwa kashatembea nje na anakueleza sababu zisizo za msingi maana najua hakuna sababu yeyite ya Msingi kwa mwandandoa yeyote Kwenda nje ya ndoa yake unategemea Upendo uwepo kweli? Mtakuwa mnaishi tu kwa ajili ya kuwalea watoto bali si kwa Upendo kama Mwanzo, hii khali itakuwa inajirudia rudia kichwani kuona mtu Uliyempenda Kakusaliti. Kamwe Usitegee Uaminifu toka Kwa Mwenzi wako, ni Ufa unajengwa na hauzibiki japo mtaweza kuona kma mumeziba.

Huwa naomba Mungu kila siku Hii khali Isinitokee daima maana sitegemei ku-cheat na Sitagemei kusikia au kuona mwenzi wangu ananiendea kinyume.[/QUOTE]
 
endelea kuomba maana dunia ina mambo mengi maana ubavu wako hautembei nao kila mahali omba hata akifanya huko
usijue aendelee kukuheshimu ndo la muhimu basi

[/I]Preta ajali kubwa ni zipi katika ndoa kama siyo hiyo mojawapo? Kwa mtu unayejuwa ni mumeo/mkeo unagunduwa kashatembea nje na anakueleza sababu zisizo za msingi maana najua hakuna sababu yeyite ya Msingi kwa mwandandoa yeyote Kwenda nje ya ndoa yake unategemea Upendo uwepo kweli? Mtakuwa mnaishi tu kwa ajili ya kuwalea watoto bali si kwa Upendo kama Mwanzo, hii khali itakuwa inajirudia rudia kichwani kuona mtu Uliyempenda Kakusaliti. Kamwe Usitegee Uaminifu toka Kwa Mwenzi wako, ni Ufa unajengwa na hauzibiki japo mtaweza kuona kma mumeziba.

Huwa naomba Mungu kila siku Hii khali Isinitokee daima maana sitegemei ku-cheat na Sitagemei kusikia au kuona mwenzi wangu ananiendea kinyume.
[/QUOTE]

mmmmmh chauro, Comment yako na hiyo signature yako kopiraiti!!!!!!!!!!
 
mmmmmh chauro, Comment yako na hiyo signature yako kopiraiti!!!!!!!!!![/QUOTE]

bacha we acha tu kua uyaone usisikie kwa watu ona mwenyewe
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

Kamulize kwanza kwa nini ina password? kwanini anaizima anapokuwa na wewe na kwanini anaiwasha akishatoka kwao.

THEN uje hapa na majibu yako ili upate ushauri.
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

una muda gani na huyo mpenzi?...ndio maana ukauliza tabia za mpenzi wa kweli?....bobuu hiyo imekula kwako......kuna mwenzio....hilo ulijue mapema
 
Inasitisha na inauma sana. Jibu ni kwamba hana haja ya kuiwasha nikiwepo coz 2nawasiliana,anaiwasha nikiwa mbali ili 2wasiliane.
 
Mhhh mkuuu hapo kama mbuzi vile kwenye gunia, eti hana haja ukiwa nae kuiwasha duh....mwambie aiwashe tu haitasumbua penzi lenu...
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

Muda wa kulala umeisha - Kama unahisi mahusiano yako yana upungufu either weka substitute au kula kama kete ya Kingi!
 
Inasitisha na inauma sana. Jibu ni kwamba hana haja ya kuiwasha nikiwepo coz 2nawasiliana,anaiwasha nikiwa mbali ili 2wasiliane.
kwani alinunua simu kwa ajili ya kuwasiliana na wewe tu?
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

Sijui kama wewe ni mpenzi wa Muziki wa Kizazi Kipya......Ila kuna wimbo flani unaitwa "KIMBIA" Kaimba Babuu feat. Langa, Mchizi Mox. hebu usikilize huo wimbo na utekeleze maudhui yake fasta......
 
Sijahisi chochote ila naona siyo hali ya kawaida kuzima simu mda wote.

siku moja jifanye simu yako imeisha chaji halafu muombe utumie yake. Hapo ndio utajua kama anazima kwasbb upo nae au kuna namna.
 
Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

hee pole
vunja ukimya,muulize kwa nini anafanya hivyo?au mwambie tabia hiyo huipendi...
huyo ni wako kwa nini unamuogopa?
 
Back
Top Bottom