Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

sasa haya magwiji yanadaiwa hapa jf? au yameasirika na hili neno guest hi hi hii hii, samtaimu ukikumbukia vimbwenga vya gesti hauz na ukiingiia hapa kama gesti unapata rilifu kiidogo ,si unajua wajina. gesti jf na gesti hauzi.
HAHAHAHAHA!
mpwaaz umaniacha hoooi

lakini kwa kukudokeza tu ni kwamba kinachokimbiwa hapa ni HII PROJEKTI YA 13/02/2010
...ina kosti-implikesheni!SO FAR SIJAISIKIA AHADI YAKO!au na wewe ni wale wale?
 
hapa inabidi nilogi auti kidogo nimuwahishe waifu meteniti.
 
Mila za kitanzania mama. Babu yangu alikuwa na wake wa4 na watoto 56. Kati ya watoto hao 56 Tisa walizaliwa na wanawake tofauti ambao hawakuwa wake zake! Yu knoo woram seyying? Piga hesabu hapo! Ndio MILA zetu hizo!

kina babu wanaodumisha mila walikuwa wana posa wanaoa wanaweka ndani kihalali hata akiwa na kumi, huyo babu wa kuzaa na wasio wake zake wa wapi huyo?
haya mambo ya kuishi kwa kudanganya na kuficha ficha ma meseji siyo mila zetu hizi, mseme tu wenyewe mlipo zitoa
 
we Chris hebu wacha ku edit kitofauti bwana.......
 
hahahahahaha!
x-pin naona huyu kijana afanyiwe utaratibu wa kesto akiwa nyumbani kabla hajafungiwa mlango KWA HUU MTIRIRIKO WA POINT ANAZOONGEA
hahahaaaa, mwaka mpya mambo mapya, aidia mpya, tekiniksi mpya!!.
ntakugongea senksi kwa taska 2 jioni chawote pale, vipi leo mchemsho si utakuwepo??
 
leo tumeanza vizuuuri sana!
nadhani kongoro,chipsi,nyama choma,na mishkaki vitakuwepo

kesho na ijumaa mambo yatakolea zaidi wikiendi patachimbika
 
Iribini ni mchonganishi always!!!!! mi ukinivunjia ndoa unanioa mwenyewe
heheheheh!
wala usijali.kwasababu hata akisuasua MIMI NITAKUWOWA KWA KISHINDO KI-KUU
 
kina babu wanaodumisha mila walikuwa wana posa wanaoa wanaweka ndani kihalali hata akiwa na kumi, huyo babu wa kuzaa na wasio wake zake wa wapi huyo?
haya mambo ya kuishi kwa kudanganya na kuficha ficha ma meseji siyo mila zetu hizi, mseme tu wenyewe mlipo zitoa

Babu yangu mzaa baba! Wa kwetu Moshi. Mi ndio nimerithi jina lake na mila zote alizokuwa anafanya.
 
Iribini ni mchonganishi always!!!!! mi ukinivunjia ndoa unanioa mwenyewe

hujamsoma vizuri hizi comments zake humu ndani ukamjua ni mume wa namna gani mpaka utake akurithi? ukiachika bora uje tushee huyu wangu huyo hakufai hata kidunchu mrembo kama wewe...lol
 
aggggggggggggggggggggggrrrrrh!
NDEGE WA WAPWA HUYU MBONA UNATUKIMBIZIA!??
 
Iribini ni mchonganishi always!!!!! mi ukinivunjia ndoa unanioa mwenyewe

Point well taken, noted and filed for future use. You wont regret darling. Nipe namba za muzee basi nianze kazi fasta!
 
hujamsoma vizuri hizi comments zake humu ndani ukamjua ni mume wa namna gani mpaka utake akurithi? ukiachika bora uje tushee huyu wangu huyo hakufai hata kidunchu mrembo kama wewe...lol
Danganya toto kula kande mbichi! Mwanamke ulivokuwa na wivu weye ndo ufanye sharing? Thubutuuu! bht Stuka! Baki na uamuzi wako uliotukuka!
 
hujamsoma vizuri hizi comments zake humu ndani ukamjua ni mume wa namna gani mpaka utake akurithi? ukiachika bora uje tushee huyu wangu huyo hakufai hata kidunchu mrembo kama wewe...lol

Nyamayao nampata sana huyu Iribini ila yeye akinivunjia ndoa si nami navunja yake afu namtosa vile vile!!!!

mmh nije nisheee huyo wako ya kweli hayo N??? hahaaa najua wat u mean dear!!
 
Point well taken, noted and filed for future use. You wont regret darling. Nipe namba za muzee basi nianze kazi fasta!

wewee weee kirahisi rahisi tu hivyo......
 
Back
Top Bottom