Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Mkuu yani kila nikifikiria tulikotoka na jinsi tulivyokuwa karibu kwa kipindi cha mwaka mmoja naumia sana kuona nampoteza mtu niliyepanga kuwanae katika maisha yangu. Mapenzi kizungumkuti!!!!
mkuu, sijapendezwa na jinsi unavyo lichukulia hili jambo, kama vile umeshajua nini kinaendelea,..
Huna haja ya kujipa pressure kiasi hiko...tuliza moyo wako. Kwa nini ufikirie mabaya tu.
Jipe moyo.usiruhusu moyo wako uumizwe kiasi hiki. we ni mtoto wa kiume. Ongea naye kwanza...Usije ukajuta