Hizo ni vurugu za maono tu,soma kile kitabu cha" why men marry bitches"anato mwongozo mzuri kuhusu w/men wanaozimazima.
WanaJF natumai mko poa….
Mara ngapi hutokea wewe ukazima simu au kudelete namba ya mwenzi wako pindi mnapokosa maelewano? kudelete namba etc na jee njia hiyo inasaidia kuondoa tatizo?
nawasilisha

Why Men love Bitches: A Woman's Guide to Win her Man's Heart by Sherry Argov.
Kuhusu kuzima simu loh kuna wanaofanya hivyo kwa hacra tu. lakini kuna wenye kususa ka watoto wadogo. Wengine haiishii kwenye simu tu, wapo wanaofungasha mabegi na kuyapanga kwenye mlango.

Am not sure but I think is Why they love not why they marry bitches.is it why men loves bitches or why men marry bitches...?????
inaweza kusaidia kama ww ni mtu ambae huwezi kuzuia hasira zako. na kuna mtu yuko nagging,anajua hutaki kuongea anapiga simu 20 times. ila kuliko uongee kitu ambacho utajutia kwa maisha yako yote, bora kunyamaza. japo kuzima simu ni kujiadhibu mwenyewe,huenda akakupigia mtu mwenye good news ukakosa kufurahia maisha,am just saying,lol
Inategemea anapiga kwa minajili gani, kama anapiga kutafuta suluhisho la ugomvi uliotokea basi kuzima simu hakuna maana yoyote ila kama anataka kuendelea kusema hovyo na hata kutumia maneno ya kibaradhuli bora tu uzime simu yako badala ya kuendeleza ugomvi.