Matumizi ya simu katika Mahusiano

Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:

hahahaha.....
wewe inaelekea umeshafanya hivyo mara nyingi,.....
 
sasa mpwa yaliishaje baada ya message kuwa delivered???????

Aisee ilibidi nitumie message hii kama ya Asprin
Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?
 
Kuna jamaa baada ya kutuma meseji ambayo siyo ikabidi awahi kupiga simu customer care na kuwaambia wawaambie watu wa technical wazime mnara wa simu katika eneo ambalo yupo yeye ili message ikwame kwenda.
 
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...

It is possible if you are a lie by nature.....! Otherwise, "A LIE SHOULD HAVE A GOOD MEMORY".....! Lakini kama hauna hobby na tamthilia hizo lazima itakuwia vigumu....! Na je, kama alishakukuuliza kuonesha dukuduku na Asha?
 
Aisee ilibidi nitumie message hii kama ya Asprin
Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?

frnd wangu alipataga huo mkasa, mr wake alimtumia msg kimakosa, alikuwa anamlalamikia hawara kwamba ina maana acpokuwa na pesa na sex unaninyima? fikiria nimekufanyia mangai ya maana ambayo cjawahi kuifanyia familia yangu?....na bla bla kibao! alinifowadia hiyo msg nikasema wanaume ni kiboko jamani!.... lakini palichimbika mana na yeye kabsakiwaga na akili za kuvukia barabara kama zangu hapa.
 
Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:

Na kama umemtaja jina huyo mwizi mwenzio?:juggle:
 
frnd wangu alipataga huo mkasa, mr wake alimtumia msg kimakosa, alikuwa anamlalamikia hawara kwamba ina maana acpokuwa na pesa na sex unaninyima? fikiria nimekufanyia mangai ya maana ambayo cjawahi kuifanyia familia yangu?....na bla bla kibao! alinifowadia hiyo msg nikasema wanaume ni kiboko jamani!.... lakini palichimbika mana na yeye kabsakiwaga na akili za kuvukia barabara kama zangu hapa.

Nyamayao usisahau kuwa unatakiwa usamehe mara 70!
 
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...

Asprin unaumwa sana :becky::becky::becky::becky::becky:
 
frnd wangu alipataga huo mkasa, mr wake alimtumia msg kimakosa, alikuwa anamlalamikia hawara kwamba ina maana acpokuwa na pesa na sex unaninyima? fikiria nimekufanyia mangai ya maana ambayo cjawahi kuifanyia familia yangu?....na bla bla kibao! alinifowadia hiyo msg nikasema wanaume ni kiboko jamani!.... lakini palichimbika mana na yeye kabsakiwaga na akili za kuvukia barabara kama zangu hapa.

Nyamayao according to your story inaonekana palichimbika kisawasawa maana najaribu kufikiria jinsi mwanamke alivyokuwa mbogo ile mbaya na siku mtu ukiwa na evidence ya kosa fulani weeee mbona mkosaji atakukoma hata kukulamba miguu anaweza kufanya hivyo
 
Kwa kweli hiyo mimi ilinitokea nikaipotezea kuwa leo nimekuwaza sana mchana nikaona nikutumie sms nzuri hivi my dear my love nyingi kumbe nimeborongoa uzuri sikutaja jina ikanisaidia. Ni balaa usiombe ikukute unaweza kuzimia.
 
kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)

Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.

N:B wakati huo Sent items nyeupeee.
 
Ilishanitokea mzee jasho lilinitoka , nikampoteza kimwana mtoto alikuw a bado 18-19. aliniamini na kunipenda hadi kupitiliza . lakini si unajua tena. wanaume mnaniuelewa nadhani
 
Kwa kweli hiyo mimi ilinitokea nikaipotezea kuwa leo nimekuwaza sana mchana nikaona nikutumie sms nzuri hivi my dear my love nyingi kumbe nimeborongoa uzuri sikutaja jina ikanisaidia. Ni balaa usiombe ikukute unaweza kuzimia.

Hivi kumbe ukisemasema maneno kama my dear, my love, honey kwa saaaaana tu viumbe hawa wanalegea???
 
Kuna jamaa baada ya kutuma meseji ambayo siyo ikabidi awahi kupiga simu customer care na kuwaambia wawaambie watu wa technical wazime mnara wa simu katika eneo ambalo yupo yeye ili message ikwame kwenda.

hahahahaaaaa huyu ndio mtambo zaidi, kweli alikua desperate
 
Ilishanitokea mzee jasho lilinitoka , nikampoteza kimwana mtoto alikuw a bado 18-19. aliniamini na kunipenda hadi kupitiliza . lakini si unajua tena. wanaume mnaniuelewa nadhani

pole sana kaka, kwani watoto wa age hiyo ya 18-19 ndo huwa hawaelewi kabisa hilo somo bora mtu mzima mtaongea kidogo na yakaisha!By the way, hivi nyani<abiziani> hivi vitoto vya age hiyo huwa mnavipataje, mi nimejaribu weeeeeeeeee lakini hola!(mungu anisamehe bure)
 
cjawahi kumbana na hilo kashikashi, lakini kama ikatokea mr akanitumia msg ya utata hivyo kwa kweli anahitaji kutumia akili zake za ziada kunieleza kulikoni.

Ukipigwa na pete ya dhahabu au ukufu kisha ukaambiwa kuwa rafiki yake ambae ni John aliomba atume sms kwa sholi wake unaelewa somo tu no comment
 
Back
Top Bottom