Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Wadau nimerudi tena baada ya kimya kirefu kiasi..
Hili limenitokea naombeni maoni yenu.
Baada ya pilikapilika za shughuli Juzi,nkajilaza na nikaamka mida ya saa sita usiku kuupigia simu ubavu wangu wa pili.
Tukaongea vizuri tu,lakini ghafla nkaambiwa subiri,simu ikakatwa. Nikapiga tena,simu yake iko bize,tena na tena naambiwa waiting hatimaye nkachoka. Nkatuma msg ifuatayo.
"si umeamua kutupanga,na katika list mi sina umuhimu,usintafute tena"
Kisha nkazima simu. Asubuhi nkakuta msg amejibu hivi;
"kama unahisi nimewapanga poa hamna shida ila nlikua naongea na mtu kuhusu mchongo wa ajira"

Kiukweli sijajibu kwa sababu zifuatazo.
1.mchongo wa kazi wanajadili usiku wote huo?
2 na si mara ya kwanza kitu km hicho kutokea na nlishamkanya awe na mipaka ya kuongea na watu baki usiku

Basi sijajibu msg ile mpk sasa.Na kila akipiga sipokei. Leo kanitumia msg hii hapa.
"kuchuniwa raha we acha tu,ukipiga simu haipokelewi,text hazijibiwi,mbona watu watakoma mwaka huu?"

Sijajibu msg hii.Na mpk sasa namwona mzushi ananicheat. Je wewe unaonaje? Ungekua ww ungefanyaje?

Pole sana braza, kwa kifupi huyo mwenza wakao hana
nidhamu na mapenzi ya dhati kwako hawezi kukujibu majibu
kama hayo. kama unamoyo mpana unaweza kuendelea naye
lakini kama moyo wako hauna tundu,tulia kwanza na ufanye
shughuli za maendeleo. Then uombe Mungu atakuonyesha njia.
 
Ahsante kaka
 
nimependa jinsi mdada anavyojiamini na kuongea kwa pozi...
 
Mkuu huyo ni kicheche majibu yake yamekaa kukebehi kebehi. Jiulize confidence hiyo inatoka wapi? Hana la maana huyo, fanya kitu fulani.

Ingiza namba yake katika reject list, halafu block number hiyo kwa sms na phone kamwe hutapata sms yake na zaidi utaambulia kuona ka miss call kama amekupigia.

Ukiruhusu mashairi utaingia choo cha kike kwa hilo kulumbembe.
 
Pole sana braza, kwa kifupi huyo mwenza wakao hana
nidhamu na mapenzi ya dhati kwako hawezi kukujibu majibu
kama hayo. kama unamoyo mpana unaweza kuendelea naye
lakini kama moyo wako hauna tundu,tulia kwanza na ufanye
shughuli za maendeleo. Then uombe Mungu atakuonyesha njia.

Ni ushauri mzuri lakini kwa uzoefu nilionao juu ya wanawake huyo kiburi hicho si cha kuzaliwa ni cha kujengwa. Kimejengwa na wanaume, kumshauri aendelee ni njia fupi ambayo bado haitakuwa na faraja.

Achukue maamuzi magumu tu, amuache huyo demu Mungu atampa ahueni na kuja kufanya chaguo jingine la maana.
 
Wadau nimerudi tena baada ya kimya kirefu kiasi..
Hili limenitokea naombeni maoni yenu.
Baada ya pilikapilika za shughuli Juzi,nkajilaza na nikaamka mida ya saa sita usiku kuupigia simu ubavu wangu wa pili.
Tukaongea vizuri tu,lakini ghafla nkaambiwa subiri,simu ikakatwa. Nikapiga tena,simu yake iko bize,tena na tena naambiwa waiting hatimaye nkachoka. Nkatuma msg ifuatayo.
“si umeamua kutupanga,na katika list mi sina umuhimu,usintafute tena“
Kisha nkazima simu. Asubuhi nkakuta msg amejibu hivi;
“kama unahisi nimewapanga poa hamna shida ila nlikua naongea na mtu kuhusu mchongo wa ajira“

Kiukweli sijajibu kwa sababu zifuatazo.
1.mchongo wa kazi wanajadili usiku wote huo?
2 na si mara ya kwanza kitu km hicho kutokea na nlishamkanya awe na mipaka ya kuongea na watu baki usiku

Basi sijajibu msg ile mpk sasa.Na kila akipiga sipokei. Leo kanitumia msg hii hapa.
“kuchuniwa raha we acha tu,ukipiga simu haipokelewi,text hazijibiwi,mbona watu watakoma mwaka huu?“

Sijajibu msg hii.Na mpk sasa namwona mzushi ananicheat. Je wewe unaonaje? Ungekua ww ungefanyaje?

Chinjia baharini huyo! Ili machozi usiyaone manake unaonekana unahuruma sana kuchukua maamuzi mazito.
 
Mkuu huyo ni kicheche majibu yake yamekaa kukebehi kebehi. Jiulize confidence hiyo inatoka wapi? Hana la maana huyo, fanya kitu fulani.

Ingiza namba yake katika reject list, halafu block number hiyo kwa sms na phone kamwe hutapata sms yake na zaidi utaambulia kuona ka miss call kama amekupigia.

Ukiruhusu mashairi utaingia choo cha kike kwa hilo kulumbembe.

Simu yangu ni nokia 6030 haina iyo feature..
Halafu nadhani kaona hii thread humu ndani japo sjui kama yupo na anatumia jina gani..kwa sababu leo kanitext hivi;
“naona umeamua kuweka mambo mtandaoni?“
 
Kama simu yako haina hiyo feature basi usimpe nafasi ya kukulaghai kwa maneno mazuri.

Kama ulikuwa na mpango wa kumuoa kwa kigezo hicho hafai kuwa mke mwema.

Halafu usiwe mnyonge, bali peleka shukrani kwa Mungu kwa kukufanya kuona hayo kwa wakati muafaka.
 
Punguza wivu dogo, hakuna kitu kinachukiwa na mungu kama kumshakia mwenzako vibaya bila dalili.

Je angesema anongea na mama yake wewe ungesema pia alikuwa kakuweka kwenye WL.
 
Simu yangu ni nokia 6030 haina iyo feature..
Halafu nadhani kaona hii thread humu ndani japo sjui kama yupo na anatumia jina gani..kwa sababu leo kanitext hivi;
“naona umeamua kuweka mambo mtandaoni?“

dah!huyo demu ni mtata balaa,hana staha kabisa
 
Pole sn kwa kuishi nyuma ya dunia! Hapo huna g/f huyo ni cheche mkimbie! Simple analysis
1. Mchongo wa kazi usiku wa manane?
2. Unatuma sms ya kuvunja penzi anatake easy tu wewe haujiulizi why?
3 kwa nn haupokei zake? Ni ishara ya udhaifu wako kwake! mwanamke haogopwi ww mpe ukweli kama unahisi huwezi kumuacha vumulia tu..

Wadau nimerudi tena baada ya kimya kirefu kiasi..
Hili limenitokea naombeni maoni yenu.
Baada ya pilikapilika za shughuli Juzi,nkajilaza na nikaamka mida ya saa sita usiku kuupigia simu ubavu wangu wa pili.
Tukaongea vizuri tu,lakini ghafla nkaambiwa subiri,simu ikakatwa. Nikapiga tena,simu yake iko bize,tena na tena naambiwa waiting hatimaye nkachoka. Nkatuma msg ifuatayo.
"si umeamua kutupanga,na katika list mi sina umuhimu,usintafute tena"
Kisha nkazima simu. Asubuhi nkakuta msg amejibu hivi;
"kama unahisi nimewapanga poa hamna shida ila nlikua naongea na mtu kuhusu mchongo wa ajira"

Kiukweli sijajibu kwa sababu zifuatazo.
1.mchongo wa kazi wanajadili usiku wote huo?
2 na si mara ya kwanza kitu km hicho kutokea na nlishamkanya awe na mipaka ya kuongea na watu baki usiku

Basi sijajibu msg ile mpk sasa.Na kila akipiga sipokei. Leo kanitumia msg hii hapa.
"kuchuniwa raha we acha tu,ukipiga simu haipokelewi,text hazijibiwi,mbona watu watakoma mwaka huu?"

Sijajibu msg hii.Na mpk sasa namwona mzushi ananicheat. Je wewe unaonaje? Ungekua ww ungefanyaje?
 
mkuu hapo hapafai-mnapangwa-siku atakapoa amua kwenda kwa huyo ampendae inaweza kucost-maana yawezekana si wewe-ndo maana akakata simu yako akaona asiharibu the other side
pole-chapa lapa hapo
 
Nyata....nyata....kimbia...kiiiimbia!! Usigeuke nyuma hiyo manamke ni sumu kali zaidi hata ya kobla mweusi. Huyo mke atakuja kukukosesha aman milele kabisa. Mapenz hayajaribiwi. Hv bdo hujaanza kukimbia tu, l mean start running right now!
 
Wadau nimerudi tena baada ya kimya kirefu kiasi..
Hili limenitokea naombeni maoni yenu.
Baada ya pilikapilika za shughuli Juzi,nkajilaza na nikaamka mida ya saa sita usiku kuupigia simu ubavu wangu wa pili.
Tukaongea vizuri tu,lakini ghafla nkaambiwa subiri,simu ikakatwa. Nikapiga tena,simu yake iko bize,tena na tena naambiwa waiting hatimaye nkachoka. Nkatuma msg ifuatayo.
"si umeamua kutupanga,na katika list mi sina umuhimu,usintafute tena"
Kisha nkazima simu. Asubuhi nkakuta msg amejibu hivi;
"kama unahisi nimewapanga poa hamna shida ila nlikua naongea na mtu kuhusu mchongo wa ajira"

Kiukweli sijajibu kwa sababu zifuatazo.
1.mchongo wa kazi wanajadili usiku wote huo?
2 na si mara ya kwanza kitu km hicho kutokea na nlishamkanya awe na mipaka ya kuongea na watu baki usiku

Basi sijajibu msg ile mpk sasa.Na kila akipiga sipokei. Leo kanitumia msg hii hapa.
"kuchuniwa raha we acha tu,ukipiga simu haipokelewi,text hazijibiwi,mbona watu watakoma mwaka huu?"

Sijajibu msg hii.Na mpk sasa namwona mzushi ananicheat. Je wewe unaonaje? Ungekua ww ungefanyaje?

Ww ulipomtongoza c ulimkuta na cm! leo hii inakuaje humpangie matumizi? tena cku iz ukimnunulia cm kali akienda geto anamuachia anapetea kitaa! cku mna appointment anaenda chukua! ukumbuke ukimtumia m-pesa au airtime lazima nusu iende geto kwa msela! pevuka na omba sana kwa mungu akupatie mke!
 
Mnabeep kifo,mkipigiwa mnahaha..
Pole inaonekana unamapenzihuruma sana,taa imeshawaka iyo mix na zako..pia ucmsahau Mungu akupe Amani uitafute furaha..
 
Nabeep kifo kivipi?
 
Nabeep kifo kivipi?

Si txt yako iyo ya kibut -dizain,wakati uwezo wa kuaply huna!
Dalil ya mvua ad uone mafuriko au!
Uzuri swala lipo wazi,mizani ya mahabat imeegemea upande mmoja!mkuu jipange sawasawa,na uwe na maamuz sahih ambayo hutojutia kuyafanya,na ambayo yatakupa amani,na cyo vile waachana na mwenzako,kaz haziend kula, huli we! Fanya uchunguzi,but kip n yo mind,kuwa amani yako,furaha yako na hata afya yako,yatoka Kwako! FUNGUKAA!
 
Habari zenu wanaJf. Mtazamo wangu na wa-Beijing hawa nitofauti kabisa..! Unasemaje kuhusu hili? Leo nimekuta kundi la wa-Beijing fulani wanaponda sana, eti kisa kuna boyfriend/mister wa mwenzao ka-beep simu ya dame/wife wake. Madai yao ni kwamba eti ni aibu kwa mwanaume ku-beep simu ya mwanamke. Mtazamo wangu ni kwamba mtu mwenye mawazo ya aina hii ni mjinga. Mimi nimeoa mwanamke ambae before alikuwa ni gf wangu. Nilipokuwa nahitaji kuongea nae wakati simu yangu haina salio nilikua nam-beep na alikuwa ananipigia. Sasahivi ni ni mke wangu na ananipenda na kuniheshimu. Aibu iko wapi?
 
Back
Top Bottom