Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

wewe sasa kama unatakiwa kwenda sehemu harafu kikazi au umelala ndo sms ikaingia sasa akishasoma si anakuamsha jamani uwahi au
kweli kabisa... harafu ukirara tena na simu ikiria anaweza pokea tena au sio... we n'tu umerara sarama kabisa harafu kwanini uamshwe, hiyo nndio hari harisi lafiki yangu
 
Mimi nampenda sna mke wangu, ndio maana simruhusu ashike simu yangu.

Sipendi kuua mtoto wa watu kwa presha. Watoto wangu atanilelea nani?

Sigusi simu yake, hagusi yangu.......maisha yanasonga mbele kwa raha mustarehe!
 
Wewe umeshasema simu "yako" then mkeo asome mesage zako? Za nini?? Hata kama ni biashara yeye inahusu nini?? Ndio maana ikaitwa simu ya mkononi maana yake wewe muhusika tu ndo unaweza kuitumia wakati wowote na muda wowote mwingine haruhusiwi.

Utawajua tu.....mbona mtakakufa na presha tatizo sio simu kuitwa simu ya mkononi, ila ni matendo yako wewe na hiyo simu
 
mimi mwanamke ila siku nikikukuta unasoma au kukagua simu yangu ndio mwisho wa uhusianao wetu,lini tutastaarabika,kwani ni simu ya ndani hiyo.sigusi yako usiguse yangu.

Hii haijakaa vizuri na inaonyesha kuna tatizo ndio maamna hutaki simu yako iguswe. Kuna mtu alishika simu ya mkewe kuichokora kwenye msg akakuta jibaba linasifia mwanamama anavyomwachia ile haramu "tiGO" jamaa alichanganyikiwa.

Kuna mfanyakazi mmoja wa hospital ya Hindu Mandal alijinyonga kama miaka mitano iliyopita baada ya kusoma msg kwenye simu ya mkewe na kukuta msg jamaa anasifia mapenzi anayopewa. Jamaa alichofanya ni kujitundika mwana mama anatoka bafuni anamkuta mumewe ananing'inia kwenye feni.

My take.

Ukiwa kwenye uhusiano ni lazima uamue kuacha mambo yako yooote yaliyokutangulia kabla ili uweze kuimarisha uhusiano na uwe wa kudumu, ikiwa unapaki kwa muda then unaweza kudiriki kutoshika simu ya mwenza na yeye kutoshika yako.
 
mliapa kuwa mwili mmoja na mbona mnasema nyumba yetu, gari yetu, watoto wetu kwa nini na simu isiwe yetu? ndoa mnaifanya ngumu wenyewe unachoficha kwenye simu ni nini? unamsema mumeo/mkeo vibaya? unakazi za nje nyingi? hapo ndo penye ugomvi NYIE WANANDOA/WAPENZI SI WAAMINIFU UKIMWI UTAWAMALIZA

Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu

Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?
 
Siku zote mchoyo hapendi kuomba ili ajenge mazingira ya yeye kutoombwa vyake.....! Kadhalika kwa mwizi, hapendi kumfuatilia mwizi mwingine ili aweze kujihami naye kufuatiliwa....! Hivyo, anayekataa kugusa simu ya mwenzie kwa kigezo eti ni chombo cha binafsi ni ili tu ajenge ukuta wa yeye kufuatiliwa na kujiwekea uzio wa mtu mwingine kugusa simu yake....! Kama tulifikia hatua ya kushare hadi feelings za kimwili, urithi, nk...., inakuwaje tunashindwa kupokeana simu? Hivyo, anayekataa kugusa simu ya mwenzie (provided anaruhusiwa) ni dhana ya kujihami kwa upande wake...

Kwangu mimi mfano kama sms imeingia na huku labda niko bafuni nimeshashika maji na sabuni, naweza kumuagiza mke wangu aifungue na kuniwekea mbele yangu niisome... Hata hivyo, nikifika nyumbani tu basi nitakuwa sina simu yangu maalum... bali line naweza kuichomoa na kuiweka simu ya mke wangu na kuendelea kuitumia.... je, zile sms zinazobakigi kwenye simu zinakuwaje? Asiyejiamini siku zote hujihami....
 
Zima cmu, chomoa betri, msg huwa haiendi.

Pia funga mlango fasta kama uko wazi:lying:

hiiiiiiiii nzuri ntajaribu cku ingawa mi ntakua namtumia kwel mke wang. inaonyesha we ni xpert ktk suala zima la kuchukua cm za watu
 
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!
 
Watu wanakula mzigo huo, shtuka.......
 
kaswali kabla hujaswaliwa....hizo ni dalili tosha za penzi kuchuja
 
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!

Anasukumiwa huyo.. cha kufanya nawewe mpe masharti magumu zaidi ya hayo aliyokupa wewe halafu kama una rafiki yako wa kike wa kawaida mwambie kabla hajakutext wala kukupigia aanze kumtaarifu yeye kwanza.. maana K na K zina asili ya kutopatana just by nature,
 
Nitafanyia kazi ushauri wako mkuu. Asante sana manake mtima waumia sana. Jino kwa jino now.
 
Thankx mkuu, kwahiyo wewe unanishauri nini? Niachane nae au nitafute njia ya kusawazisha hii kitu?

the decision remain to be yours lkn kwa dizaini hiyo its good to make decision now that later, u might end up being frustrated and regret for the time u wasted
 
Thankx tena mkuu, Japo nimependa lakini nadhani nimependa pasipopendeka.
 
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!

Pole kwa hilo mpendwa,

Huyo hakupendi kwani kwa umpendae huwezi kumwekea sharti katika swala la mawasiliano kwani anaweza kukumiss any time akapenda kukupigia na anaweza kupatwa na tatizo akataka akujulishe sa kama ni usk na huyo rafiki yake kazima itakuwaje?
huyo atakuwa na mwingine ambaye amemkeep busy hata hampi mda na ameogopa kumwambia ukweli kuwa alikuwa na mtu so anaogopa usijekumpigia wakati akiwa nae
 
Thankx mkuu, kwahiyo wewe unanishauri nini? Niachane nae au nitafute njia ya kusawazisha hii kitu?

mkuu pole sana..

Cha msingi mkalishe huyo binti chini, usikimbilie kumpiga chini. Mwambie hufurahishwi na hiyo tabia, na kama hayuko tayari kubadilika, basi mwambia UAMUZI utakaochukua..Mkumbushe mlikotokea, na pia jaribu kuangalia msimamo wake kwenye uhusiano wenu.

Kumbuka hakuna aliye-perfect..jaribu kuelewana naye..Usiwe na haraka, usije ukajikuta wewe ndo mwenye matatizo
 
Pole kwa hilo mpendwa,
Huyo hakupendi kwani kwa umpendae huwezi kumwekea sharti katika swala la mawasiliano kwani anaweza kukumiss any time akapenda kukupigia na anaweza kupatwa na tatizo akataka akujulishe sa kama ni usk na huyo rafiki yake kazima itakuwaje?
huyo atakuwa na mwingine ambaye amemkeep busy hata hampi mda na ameogopa kumwambia ukweli kuwa alikuwa na mtu so anaogopa usijekumpigia wakati akiwa nae

Dah sometimez its beta kuwa single than kuwa na Mpenzi wa aina hii, I feel sorry for maself. Now najiona zoba!!!
 
mkuu pole sana..

Cha msingi mkalishe huyo binti chini, usikimbilie kumpiga chini. Mwambie hufurahishwi na hiyo tabia, na kama hayuko tayari kubadilika, basi mwambia UAMUZI utakaochukua..Mkumbushe mlikotokea, na pia jaribu kuangalia msimamo wake kwenye uhusiano wenu.

Kumbuka hakuna aliye-perfect..jaribu kuelewana naye..Usiwe na haraka, usije ukajikuta wewe ndo mwenye matatizo

Ushauri mzuri sana na ndo maana nikahitaji amwazo yenu watu kama wewe. Mkuu asante sana na kabla sijachukua uamuzi wowote ule nitayafanyia kazi kwanza mawazo yako. Thankx again mpendwa.
 
Back
Top Bottom