Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

kuwa huru na simu yako na ya mwenza... mimi yangu ikiingia msg huwa namuomba bibie anisomee
 
Binafsi simu yangu ni yangu peke yangu na ya mke wangu ni yangu pia.
Sheria hii inaongoza ndoa yangu.
OTIS

Kama ndo mimi patachimbika, vinginevyo we urudi kwenu nami nirudi kwetu.
 
Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili

Aisay yani mimi huwa sinatime kabisa kuchunguza simu ya mke wangu, na sidhani kama tafikia ujinga huo.

Mwanamke kama anataka kuigawa aitaigawa tu, umechunguza simu yake hujachunguza.
 
Nitakapoanza kushea mswaki naye ndipo tutakapoanza kushea na simu, athawaiz inabaki kuwa my vere praiveti propati

Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili
 
Yake wala ctaki inikaribie acha kuishika,yangu atumie au awe nayo wakati wowote akitaka!moyo wangu wa bigjii hauwezi kuhandle mambo mazito ya kuumiza moyo hata joto la jua tu unayeyuka!nilishajitamjaua na kuchagua namna ya kuishi!

Mh iv ni vzr kama hutotaka kuishika milele, lkn siku ukijichanganya ukashika waweza kupata heart attach maana waweza kukuta makubwa zaid ya ulivyodhan. me huwa naishika na tangu nianze kuishika cjakutana na la ajab tnx god, labda yuko kudelete mambo yake muda wote which z gud kama niivyo maana atakuwa anacheat responsibly huh! so me naishika mwaya maana madhara ya kutoishika ni makubwa zaid yan.
 
Heri yako una moyo wa ulojengwa na zege,
My dia sio kwamba sitaishika milele,kuna vitu atakavonionesha na kunifanya mie kuishika na kuichunguza kwa ukaribu kwa mfano:
*Akianza kuwa bize nayo wakati tuko wote iwe hm tunamaongezi au outing,
*Usiku tumelala yeye anakuwa bize na simu tena kwa charting am story zisizoeleweka,
*Ikitokea nikataka kutumia simu yake akaninyima na kunishushia mkwara wa kutogusa simu yake,
*Simu yake ikiita tukiwa wote akakimbilia kwenda kuickilizia nje au mbali na tulipokuwa wote,
*Anapokuwa hm au na mm mahali anakuwa amezima au kuwe cm yake silence jambo ambalo sio kawaida yake,
Kwa haya nitaishika na kuichunguza kwa mda wangu na nikipata ushahidi nitamweka chini anieleze kwa undani mpaka nimuelewe,otherwise nitaonyesha msimamo niujuao ktk hayo niliyoorodhesha.
 
Msimamo gani wa kugoma kutoa unyumba maana ndo silaha yenu kama bomu la atomic
 
kama kila mmoja anweza kuona uchi wa mwenzake,simu ni nini?

Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili
 
Mchana mzima unakaa kimya wala huhangaiki kumpigia simu bf wako. Saa 7 au 8 usiku eti ndo unaanza kumpigia, asipopokea kwa sababu yuko usingizini unaanza milawama, eti kashindwa coz yuko na mwanamke mwingine, mara oooh hunipendi vinginevyo ungepokea simu yangu na mengine mengi. Acheni hizo kina dada.

Kama mwanaume ni mkware anaweza akapokea simu yako na bado wakati anaongea na wewe hiyo saa 6, au 7 usiku pembeni kipo kidosho kinaramba koni. We unaridhika eti yuko salama kumbe ukikata simu tu, mtanange unaendelea.

Simu sio mlinzi wa penzi lako kwa bf au gf wako. Ishi tu kwa matumaini upate amani moyoni mwako!

Ni hayo kwa leo!

Wasalaaam!
 
Muhimu kukaba hadi penati
Ikibidi nakaba hadi refa na kocha
Asipokukaba yeye akukabe nani????

Kaa hupendi baki singo naona huwezi kumudu album.
Hujawahi ona timu imezidiwa ikakaba washabiki, njoo kwa mtogole tukufunze.
 
pole...naona amekukera sana....siku nyingine mpe dada apokee ndio atie adabu....

mweeeeeeeee! hiyo itakuwa ni highest level of uncivilisation. Kama mchuchu umemchoka kamwe usije mfanyia hivyo, maana mtu ambaye at one time ulim-feel nadhani sio busara kwenda such miles
 
Ndyoko, hongera kwa kupata gelofrendi mwaya

madam nitake radhi, umri huu kuwa na gelofriend. ntakusemea kwa baba ngina na siku ya upatanisho nakuja na sime, ukijidai huna kosa na kuleta ubishi nafnya kama yule polisi wa magomeni kule kongowe
 
Wadada watakurushia mawe,vaa helmet kabisa!
 
Muhimu kukaba hadi penati
Ikibidi nakaba hadi refa na kocha
Asipokukaba yeye akukabe nani????

Kaa hupendi baki singo naona huwezi kumudu album.
Hujawahi ona timu imezidiwa ikakaba washabiki, njoo kwa mtogole tukufunze.

una mpango gani na maisha yangu kunialika huko kwa mtogole.
 
madam nitake radhi, umri huu kuwa na gelofriend. ntakusemea kwa baba ngina na siku ya upatanisho nakuja na sime, ukijidai huna kosa na kuleta ubishi nafnya kama yule polisi wa magomeni kule kongowe
Kwanza namtafuta, siku tatu hajarudi home anadai yuko tuisheni ya homework.....................huyu mtoto huyu!
 
Back
Top Bottom