Habari zenu wanaJf. Mtazamo wangu na wa-Beijing hawa nitofauti kabisa..! Unasemaje kuhusu hili? Leo nimekuta kundi la wa-Beijing fulani wanaponda sana, eti kisa kuna boyfriend/mister wa mwenzao ka-beep simu ya dame/wife wake. Madai yao ni kwamba eti ni aibu kwa mwanaume ku-beep simu ya mwanamke. Mtazamo wangu ni kwamba mtu mwenye mawazo ya aina hii ni mjinga. Mimi nimeoa mwanamke ambae before alikuwa ni gf wangu. Nilipokuwa nahitaji kuongea nae wakati simu yangu haina salio nilikua nam-beep na alikuwa ananipigia. Sasahivi ni ni mke wangu na ananipenda na kuniheshimu. Aibu iko wapi?

Hujui unaloliongea. Unless you are one of those 'Sharobaros' then I can say your right..!hata kama mwanamke atakupigia, ni aibu kubwa kwa mwanamme kubip simu ya mwanamke, tena kama mna mahusiano ndo yelewi.
Kongosho hajawahi kukutana na mambo haya..! Ninawasiwasi huyu jamaa huwa anapelekwapelekwa sana..!Pancrease
sikuelewi unajua!
Yaani nim'beep mai waif wangu uniambie haifai ? Ki vipi ?
I hope you get the point mr. Kongosho...there is no general rule to beeping; inategemea na situation tu at that material time
Habari ya kubeep is SO DAMN CHEAP this applies for both gender regardless. I have made a rule not to respond mtu yeyote anayenibeep with exception to wazazi wangu na mtu ambaye najua hajitegemei. Ikiwa ni dume yaani ndo bonge la soo kubeep mwanamke, alafu utasikia nimekumiss au nimekukumbuka. Kama kweli umenimiss kopa unipigie at your own expense but not in my account.
I dont take any excuse ya kubipiwa coz I don't do that myself to others.
sioni tatizo mwanaume kumbip demu wake, mchumba wake hata mkewe ila tatizo linalonisumbua siku nyingi ni wanaume kupenda kuwabip wanaume wenzao ambao hata kuwajua hawawajui, utakuta mtu anakubip kila siku ukimuuliza anakwamba amekosea namba, siyo mmoja wako wengi kweli, yaani mpaka shida.Habari zenu wanaJf. Mtazamo wangu na wa-Beijing hawa nitofauti kabisa..! Unasemaje kuhusu hili? Leo nimekuta kundi la wa-Beijing fulani wanaponda sana, eti kisa kuna boyfriend/mister wa mwenzao ka-beep simu ya dame/wife wake. Madai yao ni kwamba eti ni aibu kwa mwanaume ku-beep simu ya mwanamke. Mtazamo wangu ni kwamba mtu mwenye mawazo ya aina hii ni mjinga. Mimi nimeoa mwanamke ambae before alikuwa ni gf wangu. Nilipokuwa nahitaji kuongea nae wakati simu yangu haina salio nilikua nam-beep na alikuwa ananipigia. Sasahivi ni ni mke wangu na ananipenda na kuniheshimu. Aibu iko wapi?